DJ sepetu anapendelewa sana!

DJ sepetu anapendelewa sana!

Huyu jamaa amekuwa umiza kichwa hivi mbaka imefikia kumuanzishia uzi wake kabisa?, By the way Ban zina sababu zake mkuu sidhani kama hizo ulizotaja wewe ni miongoni.
 
Ukiwa kazini huko makubaliano yenu na msimamo wako.
Hata iweje bado sana kuliwa kwa design hiyo
Usitukane mamba kabla hujavuka mto ww...sema tu hujakutana na bosi serious anataka mzigo
 
Huwa anaendesha interview Na mademu nilimfuata kumuomba interview akaniuliza eti we ni ke!
Hahahaa aisee hatari sana.Kwa hiyo interview za nini humu wakati tuna fake id??
 
In my life haters nawapa kipaumbele sana in short nawatumia kama magurudumu ya kunipeleka far!
Sio kwamba nakuhate bro unavyomshobokea mrembo wangu inanikera sana!
 
Usinilinganishe Na huyo bwana wako Mimi Nina mkuyenge Nina mashaka Na huyo baby wako kama ana dushe kweli

Mi mwenyewe nina mashaka wewe ndio yeye...kila mtu abaki na mashaka yake basi
 
Back
Top Bottom