DJ sepetu anapendelewa sana!

DJ sepetu anapendelewa sana!

Huyu jamaa anapost vitu vingi visivyo Na maana ila hapigwa ban!
Mara aweke avatar ya kike Mara aanzishe mada za kitoto wakati mwingine anaanzisha majukwaa mapya humu ila hajawahi kupewa hata kabani ka siku tatu!

Dah!
ah kumbe na wewe umewahi kupigwa ban ya siku 3 kama mimi inauma eti eh
 
Sasa yeye katokea bukoba,wewe umetoka karagwe..nimependa mixer kucheka

Ila mi nilionaga sehemu kasema ye wa kigoma
Aliniambia nimpitia bukoba nikienda oa Rwanda atakuwa kikaz labda!
Sijakuona kwenye interview ya alibakari Leo!
 
Back
Top Bottom