Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,320
Hahaaaaaaa Jf kuna vituko Hapana 😀😀😀 kumbe ulinyimwa interview au usije ikawa una Id Mbili unajipa promo Mwenyewe
Madam kama hujawahi kuwa interviewed humu naomba leo nikufanyie interview.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaaaa Jf kuna vituko Hapana 😀😀😀 kumbe ulinyimwa interview au usije ikawa una Id Mbili unajipa promo Mwenyewe
Mbaguzi kivipiJamaa mbaguzi kinoma!
We inakuhusu vipi hapo?? Umeanzaje anzaje kwanza??Tutajuaje na tutaamini vipi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wala. Huwezi niambia nikupe penzi ili unisaidie kazi,hiyo siwezi kabisa.Hehehehe
Huyo muombaji hakuwa kasomea
Wewe unahisi vipi?Katika huko kuombwa ombwa Kwako hujawahi kubahatisha ukaombwa na ' back side ' au ' behind the scene ' yako Mkuu? Nasubiri jibu.
Umefikiria kama mimiB40=DJ Sepetu...kiki hizi [emoji38][emoji38][emoji38]
Mimi Domo zege kwenye interview acha nisome za wenzanguMadam kama hujawahi kuwa interviewed humu naomba leo nikufanyie interview.
Hiki ndiyo chanzo cha kumchukia;kunyimwa interview!Huwa anaendesha interview Na mademu nilimfuata kumuomba interview akaniuliza eti we ni ke!
Umeona eeUmefikiria kama mimi
Mbona huyu mhaya mimi sijawahi kuona influence kwangu..Umefikiria kama mimi
NimeonaUmeona ee
Nani?Mbona huyu mhaya mimi sijawahi kuona influence kwangu..
Mimi Domo zege kwenye interview acha nisome za wenzangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wala. Huwezi niambia nikupe penzi ili unisaidie kazi,hiyo siwezi kabisa.
KaribuBasi naomba tufanyie PM, nina maswali mengi ninataka kujua kutoka kwako.
Hivi humu Jf unawezaje kujipa promo wakati hata hatujuani?Hahaaaaaaa Jf kuna vituko Hapana 😀😀😀 kumbe ulinyimwa interview au usije ikawa una Id Mbili unajipa promo Mwenyewe
Nimecheka sanaaa kama mazuri hivMwenzio labda anatoa rushwa ya ngono