Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,320
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa kazini huko makubaliano yenu na msimamo wako.Kuna mazingira unatengeneza husemi kitu.
Unaweza kuwa kazini na ukaombwa vilevile
Usitukane mamba kabla hujavuka mto ww...sema tu hujakutana na bosi serious anataka mzigoUkiwa kazini huko makubaliano yenu na msimamo wako.
Hata iweje bado sana kuliwa kwa design hiyo
Ndio nakuambia hayo makubaliano.Usitukane mamba kabla hujavuka mto ww...sema tu hujakutana na bosi serious anataka mzigo
Hahahaa aisee hatari sana.Kwa hiyo interview za nini humu wakati tuna fake id??Huwa anaendesha interview Na mademu nilimfuata kumuomba interview akaniuliza eti we ni ke!
Shangaa mkuuKwan Dj sepetu ndio mwenye leseni ya kuhost inter viu humu jukwaan mkuu ungeanzisha nawe yako
Mkuu kuna watu Wa ajabu sana Mimi huwa nawapuuza tuHiki ndiyo chanzo cha kumchukia;kunyimwa interview!
Naona wangekuwa mods wangenipiga life ban!Daaaah mna wvu sana
Baby Na wewe ni snitch! Kweli kikulacho...Umefikiria kama mimi
Teh!Baby Na wewe ni snitch! Kweli kikulacho...
Usinilinganishe Na huyo bwana wako Mimi Nina mkuyenge Nina mashaka Na huyo baby wako kama ana dushe kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi mwenyewe nina mashaka wewe ndio yeye...kila mtu abaki na mashaka yake basi