DJ sepetu anapendelewa sana!

DJ sepetu anapendelewa sana!

B40

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Posts
820
Reaction score
537
Huyu jamaa anapost vitu vingi visivyo Na maana ila hapigwa ban!
Mara aweke avatar ya kike Mara aanzishe mada za kitoto wakati mwingine anaanzisha majukwaa mapya humu ila hajawahi kupewa hata kabani ka siku tatu!

Dah!
 
Ndio nani tena huyo jamaa?Anaweka vitu vya kipuuzi kama vipi mkuu?
 
Back
Top Bottom