DJ sepetu anapendelewa sana!

Yani unajifanya hujui habari ya rushwa?


Mimi nimeshawahi kupewa rushwa ya ngono...sio lazima uombe
Sio kama sijui,lakini nimejaribu kufikiria tu. Sijawahi kutoa rushwa ya ngono anyway...
 
Ok. Nishashawahi kuombwa.. Hilo la kuombwa kawaida mbona hasa sisi watoto wa kike

Katika huko kuombwa ombwa Kwako hujawahi kubahatisha ukaombwa na ' back side ' au ' behind the scene ' yako Mkuu? Nasubiri jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…