TANZIA DJ Steve B afariki dunia

TANZIA DJ Steve B afariki dunia

Rest in peace brother. Nakumbuka kukutana na wewe first time kwenye maonyesho ya 77 miaka ya 90 ukiwa young and talented dj na kila mtu alijua ungekuja kusumbua kwa uwezo wako. Kweli ulikuja kuwa dj mkubwa na very top in Tanzania.

Pumzika kwa amani kaka [emoji120]
Kwa nini alitoka clouds media?
 
Duh! Hajaacha mke wala mtoto!

aiseeh, ni kweli maisha ni magumu ila vijana jitahidini uache hata mtoto achilia mke!

Kwa dunia ya sasa pamoja na kuwa na watoto wanaweza wasikusaidie ila ndio watu/mtu wako wa karibu anafata ndugu au rafiki.

Familia ni kitu cha muhimu itafanya uheshimike kwenye jamii inayokuzunguka, Hata kama kiuchumi uko vibaya! Ila sio sawa na kukosa vyote.

Maumivu ya wazazi hapo huwa mara 2 zaidi

Yaani mwamba hajaacha kitu kabisa, na kwa kazi yake au umaarufu kuzungukwa na wanawake ni jambo la kawaida, bora hata angetelekeza mtoto! Kuliko hiyo hajaacha.

Labda kama alikuwa na tatizo la kiafya hapo sawa!

Enzi za ujana wangu niliburudika kupitia hiyo kazi yake, apumzika kwa amani ye katangulia sisi nyuma yake tupo!
 
Inasikitisha Sana!!
 
Back
Top Bottom