Hii ni kweli kabisaDj Steve b ni moja ya nembo ya Clouds fm, wampe heshima yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kweli kabisaDj Steve b ni moja ya nembo ya Clouds fm, wampe heshima yake.
Mtutsi mwenzakowewe jamaa sio mzima kichwani, hivi unaweza vipi kumkejeli marehemu namna hiyo?
Nataman ungekua mwanaume kamili tatizo ndio hivo tena.
Liverpool ilimaliza ya 5 msimu uliopitaSteve B, Nature Vencha ni mafundi wa kukesha…
Ntusi kakaMtutsi mwenzako
Bora hayo tuyaache ndugu yangu. Kikubwa wampe heshima kama moja ya icon wa ile radio.Kwa nini alitoka clouds media?
Hizo pombe chafu ndio hatari,ila kama unakunywa gin au whisky unamix na barafu mbona hazina shida,baba yangu kanywa whisky n gin zaidi ya 40yrz hakuwahi kua na shida ya figo...unatakiwa unywe maji mengi sana unapokunywa pombe kaliBora hizi pombe za ngano kuliko spirits, spirits zinachoma kabisa.
Visungura na Double Kick vitaleta balaa kwa vijana wengi sana miaka 10 inayokuja
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa figo ni balaa sana hta Jasiri Mwongoza Njia alisanda na tulipitishiwa bakuli na kuchangiaShow ya figo endelea kuisikia tu hivi hivi kwa wenzako au endelea kuhadithiwa ila siyo ya kukukuta siyo wewe tu......hata mmoja wa wanafamilia yako!!!
Inatesa,inatia umaskini zaidi sana inazigawa sana familia zetu sisi maskini,Mungu atuepushe na hili balaa na marehemu apate pumziko jema.
Yaani mtu alieleta impact Clouds media,sasa ilikuwaje akaachwa. Any wa Apumzike kwa amani.Binafsi sikuwahi kumsikia as huwa sisikilizi musics huko clouds media.Mie ni taarifa ya habari na wakati mwingine kiduchu ninasikiliza michezo.Bora hayo tuyaache ndugu yangu. Kikubwa wampe heshima kama moja ya icon wa ile radio.
Baada Boniluv kuachana na Clouds upande wa Djz ni kama kulipoa sana hadi walipomchomoa DJ Steve B kutoka E.A Radio. Alileta vibe mpya kabisa kwenye kipindi cha Dr Beat.
Ukimtoa Boniluv pale clouds hakuna Dj aliye influence madj wengi kutamani kufanya kazi na Clouds kama DJ Steve B.
Ni kweli kabisaBora hayo tuyaache ndugu yangu. Kikubwa wampe heshima kama moja ya icon wa ile radio.
Baada Boniluv kuachana na Clouds upande wa Djz ni kama kulipoa sana hadi walipomchomoa DJ Steve B kutoka E.A Radio. Alileta vibe mpya kabisa kwenye kipindi cha Dr Beat.
Ukimtoa Boniluv pale clouds hakuna Dj aliye influence madj wengi kutamani kufanya kazi na Clouds kama DJ Steve B.
Aliacha kazi mwenyewe,alipiga mshindo akaamua kununua vifaa vya muziki na kujitegemeaYaani mtu alieleta impact Clouds media,sasa ilikuwaje akaachwa. Any wa Apumzike kwa amani.Binafsi sikuwahi kumsikia as huwa sisikilizi musics huko clouds media.Mie ni taarifa ya habari na wakati mwingine kiduchu ninasikiliza michezo.
Dj skills alipata mgawao wa hela toka kwao,akaamua kujiajiri kwa kununua vifaa vya muziki, na kuamua kutoka clouds fmBora hayo tuyaache ndugu yangu. Kikubwa wampe heshima kama moja ya icon wa ile radio.
Baada Boniluv kuachana na Clouds upande wa Djz ni kama kulipoa sana hadi walipomchomoa DJ Steve B kutoka E.A Radio. Alileta vibe mpya kabisa kwenye kipindi cha Dr Beat.
Ukimtoa Boniluv pale clouds hakuna Dj aliye influence madj wengi kutamani kufanya kazi na Clouds kama DJ Steve B.
OooohNataman ungekua mwanaume kamili tatizo ndio hivo tena.
Nilikuwa shabiki wa test za mixing na playlist zake. Baada ya Dj John Dilinga kuacha radio yeye ndio alibakia kuwa na test tofauti. Siku hizi bila jingle wanaweza kupiga madj hata watatu usijue ni akina nani sababu wanafanana sana.Dj skills alipata mgawao wa hela toka kwao,akaamua kujiajiri kwa kununua vifaa vya muziki, na kuamua kutoka clouds fm
Ndio maisha. Hakufanikiwa upande huo lakini amecha impact kubwa kwenye bongo fleva na madj na historia itamkumbuka.Steve hakuwa na Mke wala hajaacha Mke na wala Mtoto, hatuna taarifa za Mtoto wake"
Mwisho wa kunukuu
APUMZIKE MAHALI ANAPOSTAHILI!
Asante sana .Sasa nimefahamu.Aliacha kazi mwenyewe,alipiga mshindo akaamua kununua vifaa vya muziki na kujitegemea
Baraka sijui yuko wapi dahHigh class, Imam Abbas, Baraka and Steve B