TANZIA DJ Steve B afariki dunia

TANZIA DJ Steve B afariki dunia

MTAZAMO ni kweli ,kuna kipindi East Africa Radio kipindi cha The Crewz yaani akiwa DJ JD hata asipopiga Jingle unajua kabisa yupo mtamboni due to uniqueness zake za mixing.
Kizazi cha trending hakuna tena fursa za talents. Zamani DJ alikuwa ana set test zake hata bila jingle unaweza kujua kwenye mtambo kasimama nani.

Binafsi huwa nawashauri ninaopata bahati ya kukutana nao, waache mambo mengi wanayohangaika nayo wabobee kwenye kuujua muziki, kutafuta ngoma kali sio trending tu na mixing then mengine yaje kama vionjo.

Zamani kuna nyimbo unasubiria aipige DJ JD alafu unasikiliza Boniluv nae atatoboa nayo vipi. Akili nyingi zilitumika kwenye styles za mixing na zilitupa burudani sana.
 
R.I.P Steven Allen Mdoe, Steve B ,Dj Skills
 

Attachments

  • 20230805_125856.jpg
    20230805_125856.jpg
    327.1 KB · Views: 5
Back
Top Bottom