TANZIA DJ Steve B afariki dunia

TANZIA DJ Steve B afariki dunia

Siku hii DJ John Dilinga ndio alimtembela .Dillinga mtu poa na ana roho nzuri sana ..maana alichanga pesa kutoka kwa wadau wakampa pesa ya kutumia na wakamnunulia bajaji ili imuingizie kipato na kumsaidia kumpeleka hospitali
Aisee, apumzike pema Steve B. Binafsi nimehudhuria sana zile concerts za fiesta kuanzia 2007 huko, ameturusha sana huyu mwamba.

Legend kabisa
 
Hivi wale wazee kule vijijini wanakunywa gongo toka walivyokuwa vijana hadi uzee sikuwahi kusikia hayo tofauti ni nini? Au hawa vijana wa mjini hawali vzr na kunywa maji, maziwa kwa wingi?
Kuna kitu hakisemwi. Watu wanazunguka tu hapo kwenye figo. HIV tukiwa wawazi kwenye kutaja ugonjwa wa kweli si itasaidia wengine kuwa makini? MaDJ wengi wanapukutika kwasababu ya kazi yao hiyo.... mwaka 2004 nilipoteza my best friend alikuwa DJ. Tangu wakati huo sijawahi kuwa na mtu nikaona huyu ni rafiki wa kweli.
 
Back
Top Bottom