Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Ahsante,tushapoaPole Kwa msiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante,tushapoaPole Kwa msiba
Mi sijiviki uwakili sijui Nini na Nini hukooo
Aisee, apumzike pema Steve B. Binafsi nimehudhuria sana zile concerts za fiesta kuanzia 2007 huko, ameturusha sana huyu mwamba.Siku hii DJ John Dilinga ndio alimtembela .Dillinga mtu poa na ana roho nzuri sana ..maana alichanga pesa kutoka kwa wadau wakampa pesa ya kutumia na wakamnunulia bajaji ili imuingizie kipato na kumsaidia kumpeleka hospitali
Pesa nyingi maneno kidogoSiku hizi si mna dj wenu anaitwa ally nani sijui anapiga kelele tu
Ova
Wewe unaleta ligi mpaka huku msibani watu hatujaanua tanga la online bado?Wabongo kwa ujuaji mpo vizuri. Mnapenda sana uongo
Mamamamae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo nyuma yako mkuu
Acha iwamalize riziki ziwe zetuPombe inatumaliza vijana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mamamamae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii leoSasa nauliza SteveB ni Dj ama Mc!!
Gitaa la Daly Kimoko. 🤣🤣 wewe popoma ulifanya niwe sipendi kusikia stori yoyote kuhusu mwanamuziki Daly Kimoko.Vipi Ugonjwa uliomuua ndiyo huo uliomfanya hili Shati alilolivaa hapa Pichani limvae kwa Kukonda ( Kupungua ) Kwake Kimaumbile au?
R.I.P Dj Steve B.
Kuna kitu hakisemwi. Watu wanazunguka tu hapo kwenye figo. HIV tukiwa wawazi kwenye kutaja ugonjwa wa kweli si itasaidia wengine kuwa makini? MaDJ wengi wanapukutika kwasababu ya kazi yao hiyo.... mwaka 2004 nilipoteza my best friend alikuwa DJ. Tangu wakati huo sijawahi kuwa na mtu nikaona huyu ni rafiki wa kweli.Hivi wale wazee kule vijijini wanakunywa gongo toka walivyokuwa vijana hadi uzee sikuwahi kusikia hayo tofauti ni nini? Au hawa vijana wa mjini hawali vzr na kunywa maji, maziwa kwa wingi?
Yule mwamba ni hatari..Dj D ommy ni mtu na nusu
wekeni majina yao basiApumzike kwa amaniView attachment 2704111