SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Nyani wa pori la utopolo haoSasa mbona hizi ni picha za nyani, na manyani wanajulikana ni timu gani kwa mujibu wa kocha wao? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiki ndicho kilicho baki, dunia ya leo hata ukiamua kuzijua za Armenia Azerbaijan Bahamas Bahrain Tel Aviv mbona faster labda huyo jamaa hana exposure mimi nazijua timu zinazocheza ligi ya Zimbabwe wala sijawahi kuziona
Sasa timu nane umeishia robo,zikifika 24 utapita hata makundi kweli?Ni historia kufika robo fainali. Timu zikiongezeka hadi 24, hiyo robo itatafutwa kwa tochi πππ
Chomoa mwiko wa Ihefu kwanza
Libolo fcChomoa mwiko wa ihefu kwanza
MWIKO NYUMA FCLibolo fc
Sikiliza wewe mbumbumbu mpira ni kazi yake anatakiwa kujua details za mpira , unataka kuniambia wachezaji wa nje wanao cheza kitayose na Namungo walizijuaje?Kwa ku beti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata za kuwait utazijua. Mwenzako amekwambia kabisa kufika kwake robo fainali mara kwa mara.
Haya wewe tutajie timu ya Tel aviv iliyofika robo fainali huku ulaya/ asia.
Yaani mnaobet mnajiona mnazijua sana timu [emoji23][emoji23]
Naona umeamua kuonyesha uzoefu wako hongera mkuuNgoja wamalize kuosha vyombo kwa shemeji zao waje waanze kubisha.
Kumbe umelikubali na jina lenyewe eehTunawaonea huruma ambao hawajawahi kufika mwakarobo kabisa katikaAFL na Champions League
Asanti sana
Wameanzia timu nane,ulitaka Yanga aingiaje?Sasa unamcheka mwakarobo wa CAFCL na AFL wakati wewe haujawahi kufika, na kiongozi wako mkuu ameshasema lengo sio kufika mwakarobo, bali kuishia makundi? πππ
Darasa la saba anapomcheka Form six.
Upuuzi,Huwezi kukuta timu kubwa duniani kama Real Madrid au Yanga ikijisifia huo ujinga.
Mwaka 1998 Yanga walifika robo fainali sababu hatua ya makundi zilikua timu 8Tunawaonea huruma ambao hawajawahi kufika mwakarobo kabisa katikaAFL na Champions League
Wewe ulikuwa wapi usifike hiyo robo huo Mwaka 1998?Mwaka 1998 Yanga walifika robo fainali sababu hatua ya makundi zilikua timu 8
Haikuwa robo fainali. Mwaka huo kulikuwa na group stage kisha nusu fainali. Tafuta mahali popote duniani ambapo robo fainali inachezwa kwa makundi πππMwaka 1998 Yanga walifika robo fainali sababu hatua ya makundi zilikua timu 8