Djibril Sylla: Kutinga hatua ya robo fainali mara kwa mara kumeifanya Simba kuwa klabu maarufu Afrika

Djibril Sylla: Kutinga hatua ya robo fainali mara kwa mara kumeifanya Simba kuwa klabu maarufu Afrika

Hiki ndicho kilicho baki, dunia ya leo hata ukiamua kuzijua za Armenia Azerbaijan Bahamas Bahrain Tel Aviv mbona faster labda huyo jamaa hana exposure mimi nazijua timu zinazocheza ligi ya Zimbabwe wala sijawahi kuziona

Kwa ku beti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata za kuwait utazijua. Mwenzako amekwambia kabisa kufika kwake robo fainali mara kwa mara.

Haya wewe tutajie timu ya Tel aviv iliyofika robo fainali huku ulaya/ asia.

Yaani mnaobet mnajiona mnazijua sana timu [emoji23][emoji23]
 
Ni historia kufika robo fainali. Timu zikiongezeka hadi 24, hiyo robo itatafutwa kwa tochi 😂😂😂
Sasa timu nane umeishia robo,zikifika 24 utapita hata makundi kweli?

Mwakarobo aaahaa
 
Kwa ku beti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata za kuwait utazijua. Mwenzako amekwambia kabisa kufika kwake robo fainali mara kwa mara.

Haya wewe tutajie timu ya Tel aviv iliyofika robo fainali huku ulaya/ asia.

Yaani mnaobet mnajiona mnazijua sana timu [emoji23][emoji23]
Sikiliza wewe mbumbumbu mpira ni kazi yake anatakiwa kujua details za mpira , unataka kuniambia wachezaji wa nje wanao cheza kitayose na Namungo walizijuaje?
 
20231016_135151.jpg
 
Kumbe umelikubali na jina lenyewe eeh

Aahaaaa

Mwakarobo fc
Sasa unamcheka mwakarobo wa CAFCL na AFL wakati wewe haujawahi kufika, na kiongozi wako mkuu ameshasema lengo sio kufika mwakarobo, bali kuishia makundi? 😁😁😁
 
Sasa unamcheka mwakarobo wa CAFCL na AFL wakati wewe haujawahi kufika, na kiongozi wako mkuu ameshasema lengo sio kufika mwakarobo, bali kuishia makundi? 😁😁😁
Wameanzia timu nane,ulitaka Yanga aingiaje?

Aahaaaaa

Mwaka kesho wakianzia timu 24 utaishia makundi
 
Mwaka 1998 Yanga walifika robo fainali sababu hatua ya makundi zilikua timu 8
Haikuwa robo fainali. Mwaka huo kulikuwa na group stage kisha nusu fainali. Tafuta mahali popote duniani ambapo robo fainali inachezwa kwa makundi 😁😁😁
 
Back
Top Bottom