permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Yani wanafuatlia timu isiyovuka robo fainali halafu wanashindwa kufuatilia timu inayofika fainali.Wakati wengine wakibeza kitendo cha Simba cha miaka kama mitano ya hivi karibuni kuishia hatua ya robo fainal ya michuano mbalimbali ya Afrika maarufu kama 'mwakarobo' (CL x3, CC x1 na AFL x1), kumbe jambo hilo kwa wachezaji wenyewe wa nchi mbalimbali za Afrika (sio washabiki wa Bongo) wanaliona positive sana na Simba ni kama timu iliyopiga hatua kubwa na inawavutia kuja kuitumikia. Sio maneno yangu, bali ya mchezaji wa Raja CA na sasa Azam FC, Djibril Sylla.
View attachment 2792315
Huo ndio ukweli huwezi kukuta timu kubwa Duniani kama Bayern Munich ,Young Africans, Barcelona na Al Ahly kujisifia ujingwa mara tumepostiwa na CAF ,FIFA , UEFA nani katusifu ,tumeishia robo fainali wao hawana mentality za kipuuzi kama hizo.Upuuzi,
HUNA AKILI.
Labda Djibril ndio mjingaHuo ndio ukweli huwezi kukuta timu kubwa Duniani kama Bayern Munich ,Young Africans, Barcelona na Al Ahly kujisifia ujingwa mara tumepostiwa na CAF ,FIFA , UEFA nani katusifu ,tumeishia robo fainali wao hawana mentality za kipuuzi kama hizo.
Povu jingi utadhani unachangia usajili na mishahara ya wachezaji. Acha wajivunie, na kama unaona ni rahisi, anzisha timu yako uifikishe huko unakotaka wewe.Huo ndio ukweli huwezi kukuta timu kubwa Duniani kama Bayern Munich ,Young Africans, Barcelona na Al Ahly kujisifia ujingwa mara tumepostiwa na CAF ,FIFA , UEFA nani katusifu ,tumeishia robo fainali wao hawana mentality za kipuuzi kama hizo.
Labda kama ume amaua kuanzisha ubishi sasa group mbili zenye timu 4 sio robo finally hio au shule kwako ilipita mbali?Haikuwa robo fainali. Mwaka huo kulikuwa na group stage kisha nusu fainali. Tafuta mahali popote duniani ambapo robo fainali inachezwa kwa makundi [emoji16][emoji16][emoji16]
Sio ubishi. Onyesha popote duniani ambapo mechi ya robo fainali inachezwa kwenye makundi ya timu nyingi nyingi 😁Labda kama ume amaua kuanzisha ubishi sasa group mbili zenye timu 4 sio robo finally hio au shule kwako ilipita mbali?
Ni kama wao walivyoingia makundi ya AFL kwa kuanzia robo fainaliWewe ulikuwa wapi usifike hiyo robo huo Mwaka 1998?
Hakuna robo ya kucheza mechi 3 ndio utolewe. Uliona wapi hiyo uto? Hiyo ni group stage.Labda kama ume amaua kuanzisha ubishi sasa group mbili zenye timu 4 sio robo finally hio au shule kwako ilipita mbali?
Kama shida ni idadi ya mechi ? kwanini hauja hoji fainali kua mechi mbili wakati kawaida fainali hua ni mechi moja?Hakuna robo ya kucheza mechi 3 ndio utolewe. Uliona wapi hiyo uto? Hiyo ni group stage.
kwema football timu ziibaki 8 hio ni quoter ndio maana AFL tunasema Simba tumefika robo japo tume anzia hapo either tungecheza mtoano au kama ligi hio ni robo fainali unaweza ukakubali au ukataeSio ubishi. Onyesha popote duniani ambapo mechi ya robo fainali inachezwa kwenye makundi ya timu nyingi nyingi [emoji16]