Djibril Sylla: Kutinga hatua ya robo fainali mara kwa mara kumeifanya Simba kuwa klabu maarufu Afrika

Djibril Sylla: Kutinga hatua ya robo fainali mara kwa mara kumeifanya Simba kuwa klabu maarufu Afrika

Wakati wengine wakibeza kitendo cha Simba cha miaka kama mitano ya hivi karibuni kuishia hatua ya robo fainal ya michuano mbalimbali ya Afrika maarufu kama 'mwakarobo' (CL x3, CC x1 na AFL x1), kumbe jambo hilo kwa wachezaji wenyewe wa nchi mbalimbali za Afrika (sio washabiki wa Bongo) wanaliona positive sana na Simba ni kama timu iliyopiga hatua kubwa na inawavutia kuja kuitumikia. Sio maneno yangu, bali ya mchezaji wa Raja CA na sasa Azam FC, Djibril Sylla.

View attachment 2792315
Yani wanafuatlia timu isiyovuka robo fainali halafu wanashindwa kufuatilia timu inayofika fainali.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Upuuzi,

HUNA AKILI.
Huo ndio ukweli huwezi kukuta timu kubwa Duniani kama Bayern Munich ,Young Africans, Barcelona na Al Ahly kujisifia ujingwa mara tumepostiwa na CAF ,FIFA , UEFA nani katusifu ,tumeishia robo fainali wao hawana mentality za kipuuzi kama hizo.
 
Labda Djibril ndio mjinga
 
Wana yanga wanakuja😂😂😂 ila simba wanatoa bahasha ilinwawe maarufu😂😂😂
 
Huo ndio ukweli huwezi kukuta timu kubwa Duniani kama Bayern Munich ,Young Africans, Barcelona na Al Ahly kujisifia ujingwa mara tumepostiwa na CAF ,FIFA , UEFA nani katusifu ,tumeishia robo fainali wao hawana mentality za kipuuzi kama hizo.
Povu jingi utadhani unachangia usajili na mishahara ya wachezaji. Acha wajivunie, na kama unaona ni rahisi, anzisha timu yako uifikishe huko unakotaka wewe.
 
Haikuwa robo fainali. Mwaka huo kulikuwa na group stage kisha nusu fainali. Tafuta mahali popote duniani ambapo robo fainali inachezwa kwa makundi [emoji16][emoji16][emoji16]
Labda kama ume amaua kuanzisha ubishi sasa group mbili zenye timu 4 sio robo finally hio au shule kwako ilipita mbali?
 
Labda kama ume amaua kuanzisha ubishi sasa group mbili zenye timu 4 sio robo finally hio au shule kwako ilipita mbali?
Sio ubishi. Onyesha popote duniani ambapo mechi ya robo fainali inachezwa kwenye makundi ya timu nyingi nyingi 😁
 
Labda kama ume amaua kuanzisha ubishi sasa group mbili zenye timu 4 sio robo finally hio au shule kwako ilipita mbali?
Hakuna robo ya kucheza mechi 3 ndio utolewe. Uliona wapi hiyo uto? Hiyo ni group stage.
 
Hakuna robo ya kucheza mechi 3 ndio utolewe. Uliona wapi hiyo uto? Hiyo ni group stage.
Kama shida ni idadi ya mechi ? kwanini hauja hoji fainali kua mechi mbili wakati kawaida fainali hua ni mechi moja?
 
Sio ubishi. Onyesha popote duniani ambapo mechi ya robo fainali inachezwa kwenye makundi ya timu nyingi nyingi [emoji16]
kwema football timu ziibaki 8 hio ni quoter ndio maana AFL tunasema Simba tumefika robo japo tume anzia hapo either tungecheza mtoano au kama ligi hio ni robo fainali unaweza ukakubali au ukatae
 
Back
Top Bottom