mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Yule mdaka mishale kipa mahiri kabisa barani Africa,Djigui Diara amemwandikia wakala wake akitaka kumtafutia timu haraka dirisha hili dogo.
Lakini wanasheria wake pamoja na wakala waliguna maana gharama za kuvunja mkataba ni zaidi ya milioni 500.
Diara anadai hana furaha jangwani sababu ya kwanza ni kupangwa kila mechi hata siku ambazo hujihisi hayuko fit daktari wa timu pamoja na benchi la ufundi humlazimisha kucheza kwa kumdunga sindano .
Mechi ya Yanga na Tabora United aluomba asipangwe ila akaambiwa lazima adake na hakuchomwa sindano yoyote,kilichofuata ni body language yake Ilitoa majibu,Diara hakuwa mchezoni kabisa.
Kuna siku ametoka kucheza kimataifa alipotua uwanja wa ndege akaunganisha moja kwa moja uwanjani kucheza mechi ya ligi,sasa huyu ni mtu au msukule
Kumbuka Diara ni mchezaji muhimu sana kikosini maana hutumima kama kipa na kama mlinzi wa kati kwa wakati mmoja