Tetesi: Djigui Diara aomba kuondoka Yanga dirisha dogo, adai hana furaha Jangwani

Tetesi: Djigui Diara aomba kuondoka Yanga dirisha dogo, adai hana furaha Jangwani

Yule mdaka mishale kipa mahiri kabisa barani Africa,Djigui Diara amemwandikia wakala wake akitaka kumtafutia timu haraka dirisha hili dogo.

Lakini wanasheria wake pamoja na wakala waliguna maana gharama za kuvunja mkataba ni zaidi ya milioni 500.

Diara anadai hana furaha jangwani sababu ya kwanza ni kupangwa kila mechi hata siku ambazo hujihisi hayuko fit daktari wa timu pamoja na benchi la ufundi humlazimisha kucheza kwa kumdunga sindano .

Mechi ya Yanga na Tabora United aluomba asipangwe ila akaambiwa lazima adake na hakuchomwa sindano yoyote,kilichofuata ni body language yake Ilitoa majibu,Diara hakuwa mchezoni kabisa.

Kumbuka Diara ni mchezaji muhimu sana kikosini maana hutumima kama kipa na kama mlinzi wa kati kwa wakati mmoja
IMG_20241110_135155.jpg
 
Diara anafichiwa madhaifu yake na beki zake za kutumainiwa, Mechi ya juzi imemvua nguo.

Kampeni ya Ubaya Ubwela iendeleeee!
Alipomzuia Ateba wakiwa 1v1 beki zake za kutumainiwa hazikuwa uwanjani kuzuia asikutane uso kwa uso na Ateba Mbida?
Huko Simba watu wanafikiri sawa sawa?
 
Hahaha! Umenikumbusha NYUMA MWIKO walikuwa wanakesha airport kuwasubiri wapinzani wa watani wao.
Nyuma mwiko siku ya kupangwa makundi CAF walishinda jangwani hakuna pa kupita
 
Uzushi Mtupu
Inafungwaje ?
Inafungwa kwa kuwavunja vunja mabeki wote wanaolinda goli kukiwa hakuba beki Yanga ni hakuna timu kiufupi ni hivyo, Diarra anasingiziwa tu ukimvunja Baca, Bocca, Yao Kwasi, akabakia Mwamnyeto basi Yanga ni mwendo wa kufungua tu na kufungwa
 
Alipomzuia Ateba wakiwa 1v1 Baki zake za kutumainiwa hazikuwa uwanjani kuzuia asikutane uso kwa uso na Ateba Mbida?
Huko Simba watu wanafikiri sawa sawa?
Mkuu tulia sindano za Ubaya Ubwela zikite mpaka kwenye mfupa. Kazi mnayo msimu huuu.

Kijili asipocheza hampati goli
 
Nashauri simba na yanga vijisajili pia kuwa ni vyama vya siasa.

Maana nahisi mpira unachezwa sana nje ya uwanja kuliko uwanjani.
If they do that itabidi usajili na utambulisho wao fifa ukome, means havitokuwa vilabu vya mpira tena.
Sidhani kama wanaweza take that risk
 
daktari wa timu pamoja na benchi la ufundi humlazimisha kucheza kwa kumdunga sindano .

Mechi ya Yanga na Tabora United aluomba asipangwe ila akaambiwa lazima adake na hakuchomwa sindano yoyote,
Matrako Yako
 
Back
Top Bottom