Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siku mtapumuliwa kisogoni kwa habari za uzushi kama hizi, ebu tuonyeshe iyo barua aliyoiandika, au alipoiandika akawaletea nyie umbumbuni ili muione kwanza? Ni mchezaji Gani duniani uliwai kumsikia anakosa furaha kwa kupangwa Kila mechi kwa akili zenu ndogo tu za kuvukia Barabara? Unapoandaa umbea wako basi uwe unafikirisha kwanza kichwa chako angalau umbea uoane na ukweli sio ukihongwa ela ya bando basi unalitumia ovyo ovyo ata kama sio pesa yako!Yule mdaka mishale kipa mahiri kabisa barani Africa,Djigui Diara amemwandikia wakala wake akitaka kumtafutia timu haraka dirisha hili dogo.
Lakini wanasheria wake pamoja na wakala waliguna maana gharama za kuvunja mkataba ni zaidi ya milioni 500.
Diara anadai hana furaha jangwani sababu ya kwanza ni kupangwa kila mechi hata siku ambazo hujihisi hayuko fit daktari wa timu pamoja na benchi la ufundi humlazimisha kucheza kwa kumdunga sindano .
Mechi ya Yanga na Tabora United aluomba asipangwe ila akaambiwa lazima adake na hakuchomwa sindano yoyote,kilichofuata ni body language yake Ilitoa majibu,Diara hakuwa mchezoni kabisa.
Kuna siku ametoka kucheza kimataifa alipotua uwanja wa ndege akaunganisha moja kwa moja uwanjani kucheza mechi ya ligi,sasa huyu ni mtu au msukule
Kumbuka Diara ni mchezaji muhimu sana kikosini maana hutumima kama kipa na kama mlinzi wa kati kwa wakati mmoja
Huyu Aziz Ki kwa kitendo cha kuvuta shisha anaichafua Brand ya Yanga.Ila kitendo cha Haji Manara kumfundisha Aziz Ki kuvuta shisha kilaaniwe kabisa kammaliza kabisa ukichanganya na Hamisa Mobeto anavyomfinyia kwa ndani ndiyo basi tena.
Nadhan wajua sana wenye kupokea timuMbumbumbu kwenye ubora wenu... mmeshamaliza kuipokea tabora au bado? Sijawahi ona nchi ina watu wapumbavu kama hii..
Yule ni binadamu kuna siku anaumwa lakini anaambiwa acheze tu hivyo hivyo,hivi unajua tofauti ya tetesi na comfirmed news kwenye soccer.Kuna siku mtapumuliwa kisogoni kwa habari za uzushi kama hizi, ebu tuonyeshe iyo barua aliyoiandika, au alipoiandika akawaletea nyie umbumbuni ili muione kwanza? Ni mchezaji Gani duniani uliwai kumsikia anakosa furaha kwa kupangwa Kila mechi kwa akili zenu ndogo tu za kuvukia Barabara? Unapoandaa umbea wako basi uwe unafikirisha kwanza kichwa chako angalau umbea uoane na ukweli sio ukihongwa ela ya bando basi unalitumia ovyo ovyo ata kama sio pesa yako!
NINASHUKURU SANA MUNGU SIKUWA SHABIKI WA SIMBA. Kitabia nimegundua wanasimba wengi wanatabia za MAJUNGU, WIVU WA MKE ALIYEACHWA na USHIRIKINA. Hata Maofisini huku wapenzi wa Simba ndio wanaoongoza KUFITINI WENZAO WAHARIBIKIWE. SIJUI KUWA SHABIKI WA SIMBA NI LAZIMA UWE MFITINISHAJI NA MAJUNGU AUYule mdaka mishale kipa mahiri kabisa barani Africa,Djigui Diara amemwandikia wakala wake akitaka kumtafutia timu haraka dirisha hili dogo.
Lakini wanasheria wake pamoja na wakala waliguna maana gharama za kuvunja mkataba ni zaidi ya milioni 500.
Diara anadai hana furaha jangwani sababu ya kwanza ni kupangwa kila mechi hata siku ambazo hujihisi hayuko fit daktari wa timu pamoja na benchi la ufundi humlazimisha kucheza kwa kumdunga sindano .
Mechi ya Yanga na Tabora United aluomba asipangwe ila akaambiwa lazima adake na hakuchomwa sindano yoyote,kilichofuata ni body language yake Ilitoa majibu,Diara hakuwa mchezoni kabisa.
Kuna siku ametoka kucheza kimataifa alipotua uwanja wa ndege akaunganisha moja kwa moja uwanjani kucheza mechi ya ligi,sasa huyu ni mtu au msukule
Kumbuka Diara ni mchezaji muhimu sana kikosini maana hutumima kama kipa na kama mlinzi wa kati kwa wakati mmoja
Dadeq, baba Jane hiyo.
Ongeza sifa nyingine uchawiNINASHUKURU SANA MUNGU SIKUWA SHABIKI WA SIMBA. Kitabia nimegundua wanasimba wengi wanatabia za MAJUNGU, WIVU WA MKE ALIYEACHWA na USHIRIKINA. Hata Maofisini huku wapenzi wa Simba ndio wanaoongoza KUFITINI WENZAO WAHARIBIKIWE. SIJUI KUWA SHABIKI WA SIMBA NI LAZIMA UWE MFITINISHAJI NA MAJUNGU AU
Kuficha umbumbumbu ni kazi nzito sana.Yule mdaka mishale kipa mahiri kabisa barani Africa,Djigui Diara amemwandikia wakala wake akitaka kumtafutia timu haraka dirisha hili dogo.
Lakini wanasheria wake pamoja na wakala waliguna maana gharama za kuvunja mkataba ni zaidi ya milioni 500.
Diara anadai hana furaha jangwani sababu ya kwanza ni kupangwa kila mechi hata siku ambazo hujihisi hayuko fit daktari wa timu pamoja na benchi la ufundi humlazimisha kucheza kwa kumdunga sindano .
Mechi ya Yanga na Tabora United aluomba asipangwe ila akaambiwa lazima adake na hakuchomwa sindano yoyote,kilichofuata ni body language yake Ilitoa majibu,Diara hakuwa mchezoni kabisa.
Kuna siku ametoka kucheza kimataifa alipotua uwanja wa ndege akaunganisha moja kwa moja uwanjani kucheza mechi ya ligi,sasa huyu ni mtu au msukule
Kumbuka Diara ni mchezaji muhimu sana kikosini maana hutumima kama kipa na kama mlinzi wa kati kwa wakati mmoja
Wakati anaambiwa acheze ivyo ivyo ulikuwepo? Iyo ya kwako ni confirmed news au ni tetesi? Kwanini ujachanganua kama ni udaku au confirmed news?Yule ni binadamu kuna siku anaumwa lakini anaambiwa acheze tu hivyo hivyo,hivi unajua tofauti ya tetesi na comfirmed news kwenye soccer.
Kikosi kipana mnazingua.Diara anadai hana furaha jangwani sababu ya kwanza ni kupangwa kila mechi hata siku ambazo hujihisi hayuko fit daktari wa timu pamoja na benchi la ufundi humlazimisha kucheza kwa kumdunga sindano .
kichapo kinaonea!Yule mdaka mishale kipa mahiri kabisa barani Africa,Djigui Diara amemwandikia wakala wake akitaka kumtafutia timu haraka dirisha hili dogo.