Tetesi: Djigui Diara aomba kuondoka Yanga dirisha dogo, adai hana furaha Jangwani

Yaani kupoteza match mbili tu ndio kelele zote hizi?
 
Kuna siku mtapumuliwa kisogoni kwa habari za uzushi kama hizi, ebu tuonyeshe iyo barua aliyoiandika, au alipoiandika akawaletea nyie umbumbuni ili muione kwanza? Ni mchezaji Gani duniani uliwai kumsikia anakosa furaha kwa kupangwa Kila mechi kwa akili zenu ndogo tu za kuvukia Barabara? Unapoandaa umbea wako basi uwe unafikirisha kwanza kichwa chako angalau umbea uoane na ukweli sio ukihongwa ela ya bando basi unalitumia ovyo ovyo ata kama sio pesa yako!
 
Yule ni binadamu kuna siku anaumwa lakini anaambiwa acheze tu hivyo hivyo,hivi unajua tofauti ya tetesi na comfirmed news kwenye soccer.
 
NINASHUKURU SANA MUNGU SIKUWA SHABIKI WA SIMBA. Kitabia nimegundua wanasimba wengi wanatabia za MAJUNGU, WIVU WA MKE ALIYEACHWA na USHIRIKINA. Hata Maofisini huku wapenzi wa Simba ndio wanaoongoza KUFITINI WENZAO WAHARIBIKIWE. SIJUI KUWA SHABIKI WA SIMBA NI LAZIMA UWE MFITINISHAJI NA MAJUNGU AU
 
Ongeza sifa nyingine uchawi
 
Kuficha umbumbumbu ni kazi nzito sana.
 
Yule ni binadamu kuna siku anaumwa lakini anaambiwa acheze tu hivyo hivyo,hivi unajua tofauti ya tetesi na comfirmed news kwenye soccer.
Wakati anaambiwa acheze ivyo ivyo ulikuwepo? Iyo ya kwako ni confirmed news au ni tetesi? Kwanini ujachanganua kama ni udaku au confirmed news?
 
Diara anadai hana furaha jangwani sababu ya kwanza ni kupangwa kila mechi hata siku ambazo hujihisi hayuko fit daktari wa timu pamoja na benchi la ufundi humlazimisha kucheza kwa kumdunga sindano .
Kikosi kipana mnazingua.
 
kichapo kinaonea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…