mkuu yatakukuta nawewe nanyi mtaungwa kama michapati kwenye hotpot!Mods unganisheni nyuzi za utopolo ili walilie kwenye Uzi mmoja. Nyuzi za kulia zimejaa sana.
Kwan ni wa kwetu huyu maana mpk sasa nafikiri n mzambia nigeria update mbongo anaepiga vle maajabu halafu ww mpira unaujua please kweli ni uefa shootingMsimlaumu Diarra, Shooting accuracy ya Offen Chikola ni ya kiwango cha UEFA champions league.
Huyo Dogo aitwe taifa stars.
Chikola na wazawa wengine wa Tabora united waitwe Stars
Tunaomba chikola aitwe taifa stars. Accuracy yake akiwe mbele ya goli ni kubwa sana, nahisi jamaa ni mbrazili Naomba kocha na tff wamuongeze taifa stars. Hicho kipaji kikuzwe. Accuracy yake mbele ya goli ni ya kimataifa level za UEFA champions league. Pia kama kuna wazawa wengine waliocheza...www.jamiiforums.com
Bado hujasema.Utasema vyote huu ni mwanzo tu.Wakuu
Huyu golikipa wa Yanga naona kama amerelax sana. Kwanini hajitumi? Mechi kadhaa nikiangalia magoli anayoruhusu si magoli ambayo anajituma.
Mfano game ya Leo Yanga kufungwa goli tatu, kwanini magoli yote hakuwa anaruka kudaka au kupangua? Anasimama tuu kama mlingoti, kweli?
USHAURI
Ana maslahi mazuri na ni golikipa mzuri lakini apambane. Aruke kufuata mashuti ili apangue au aruke akikosa tutaelewa.
Yani aache uzembe
View attachment 3146369
Walikuwa kwenye siku zao.Na Tabora United hawakujali wakadumbukiza hivyo hivyo.Hii Yanga ya Leo haikuwa ile ya siku zote
AstafirullahWalikuwa kwenye siku zao.Na Tabora United hawakujali wakadumbukiza hivyo hivyo.
Tulianza na Dube, tukaja kwa Aziz now ni Diara...tuendelee...Wakuu
Huyu golikipa wa Yanga naona kama amerelax sana. Kwanini hajitumi? Mechi kadhaa nikiangalia magoli anayoruhusu si magoli ambayo anajituma.
Mfano game ya Leo Yanga kufungwa goli tatu, kwanini magoli yote hakuwa anaruka kudaka au kupangua? Anasimama tuu kama mlingoti, kweli?
USHAURI
Ana maslahi mazuri na ni golikipa mzuri lakini apambane. Aruke kufuata mashuti ili apangue au aruke akikosa tutaelewa.
Yani aache uzembe
View attachment 3146369
Ile ya Azam ndo ya siku zote siyo!!??Hii Yanga ya Leo haikuwa ile ya siku zote
kiwango kimeyumba kiukweli. Goli zote amesimama asee
Naona kwenye avatar 4-1aiweke imponze kama wewe
Mkuu we ni wakala wa chikola mbona Kila sehemu unampambaYale magoli ni magumu mno, hasa yale mawili ya Offen Chikola. Watu wanampuuza Chikola kwa kuwa sio mchezaji wa Simba au Yanga. Lakini Offen Chikola ana shooting accuracy ya hali ya juu, kuliko wachezaji wengi mno Tanzania. Pale Yanga hakuna hata mmoja anayefika hata robo ya Shooting accuracy ya Offen Chikola. Kapata nafasi mbili na zote kafunga goli 2.
Tabora united wapewe maua yao.
Offen Chikola apewe maua yake.
Wachezaji wote wamelegea kama mlenda, sijui kuna nini huko kwa Gamondi.kiwango kimeyumba kiukweli. Goli zote amesimama asee
Kipa la dunia linazingua saivi😀😀Wakuu nilikua Guinea kwa braza kidogo akanipe mawili matatu kuhusu uendeshaji wa ofisi kwani kumetokea nini kwa Didiyou Dyara mdaka mishale ambaye kipa la kolo anatakawa ajifunze kudaka mishuti mikali mikali toka kwake🤣🤣🤣
Kweli sio kwa michomo hyo yani ni waaaile mechi ya kufungwa mbali alipuuzia mpira baada ya kuona mchezaji wake kafanyiwa madhambi akajua ni faulo
diara hawezi linganishwa na kipa yeyote tz