Djigui Diara si golikipa wa kutegemewa

Djigui Diara si golikipa wa kutegemewa

Msimlaumu Diarra, Shooting accuracy ya Offen Chikola ni ya kiwango cha UEFA champions league.

Huyo Dogo aitwe taifa stars.


Kwan ni wa kwetu huyu maana mpk sasa nafikiri n mzambia nigeria update mbongo anaepiga vle maajabu halafu ww mpira unaujua please kweli ni uefa shooting
 
Wakuu
Huyu golikipa wa Yanga naona kama amerelax sana. Kwanini hajitumi? Mechi kadhaa nikiangalia magoli anayoruhusu si magoli ambayo anajituma.

Mfano game ya Leo Yanga kufungwa goli tatu, kwanini magoli yote hakuwa anaruka kudaka au kupangua? Anasimama tuu kama mlingoti, kweli?

USHAURI
Ana maslahi mazuri na ni golikipa mzuri lakini apambane. Aruke kufuata mashuti ili apangue au aruke akikosa tutaelewa.

Yani aache uzembe

View attachment 3146369
Bado hujasema.Utasema vyote huu ni mwanzo tu.
 
Wakuu
Huyu golikipa wa Yanga naona kama amerelax sana. Kwanini hajitumi? Mechi kadhaa nikiangalia magoli anayoruhusu si magoli ambayo anajituma.

Mfano game ya Leo Yanga kufungwa goli tatu, kwanini magoli yote hakuwa anaruka kudaka au kupangua? Anasimama tuu kama mlingoti, kweli?

USHAURI
Ana maslahi mazuri na ni golikipa mzuri lakini apambane. Aruke kufuata mashuti ili apangue au aruke akikosa tutaelewa.

Yani aache uzembe

View attachment 3146369
Tulianza na Dube, tukaja kwa Aziz now ni Diara...tuendelee...
 
kiwango kimeyumba kiukweli. Goli zote amesimama asee

Mkuu zile goli zote zilikuwa bunduki na zinaenda pabaya... mlitaka afe... kuna maisha baada ya Yanga bana.. 😉
 
aiweke imponze kama wewe
Naona kwenye avatar 4-1
Kidogo jana wana asali wangepiga kamba ya 4 ulie vizuri
1000184416.jpg
 
Yale magoli ni magumu mno, hasa yale mawili ya Offen Chikola. Watu wanampuuza Chikola kwa kuwa sio mchezaji wa Simba au Yanga. Lakini Offen Chikola ana shooting accuracy ya hali ya juu, kuliko wachezaji wengi mno Tanzania. Pale Yanga hakuna hata mmoja anayefika hata robo ya Shooting accuracy ya Offen Chikola. Kapata nafasi mbili na zote kafunga goli 2.


Tabora united wapewe maua yao.
Offen Chikola apewe maua yake.
Mkuu we ni wakala wa chikola mbona Kila sehemu unampamba
 
Wakuu nilikua Guinea kwa braza kidogo akanipe mawili matatu kuhusu uendeshaji wa ofisi kwani kumetokea nini kwa Didiyou Dyara mdaka mishale ambaye kipa la kolo anatakawa ajifunze kudaka mishuti mikali mikali toka kwake🤣🤣🤣
 
Yanga mjifunze kucheza bila uchawi.

Huko Tabora wanyamwezi wako vyedi sana.

Watawapiga kama ngoma kila mkikutana nao.
 
Yanga mjifunze kucheza bila uchawi.

Huko Tabora wanyamwezi wako vyedi sana.

Watawapiga kama ngoma kila mkikutana nao.
Wote tumekua Tabora united mkuu?
 
ile mechi ya kufungwa mbali alipuuzia mpira baada ya kuona mchezaji wake kafanyiwa madhambi akajua ni faulo

diara hawezi linganishwa na kipa yeyote tz
Kweli sio kwa michomo hyo yani ni waaa
 
Nina,wasiwasi Mwigulu atainunua tabora aifanye Singida white star sio kwa kuwababua hivyo vijana wake...
 
Back
Top Bottom