Cochabamba
Member
- Feb 4, 2014
- 76
- 98
Hatimaye Dkt.John Magufuli leo amechukua fomu za kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mambo haya yamefanyika majira ya saa kumi na moja jioni.
John Pombe Magufuli ambaye hivi sasa ni waziri wa ujenzi lakini pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini na ndani ya CCM kwa ufanisi wa hali ya juu ambaye yeye ametamba kipaumbele chake cha kwanza ni kutekeleza kwa vitendo ilani ya chama cha mapinduzi.
Attachments
Last edited by a moderator:





