Dk. Jonh Pombe Magufuli achukua fomu kugombea urais wa Tanzania

Dk. Jonh Pombe Magufuli achukua fomu kugombea urais wa Tanzania

Unatangaza nia kwa Mbwembwe kama unatafuta Publicity au Unajisafisha. Lakini kama unauhakika wananchi wanajua UTENDAJI kazi na USAFI wako kwanini uhangaike na kutumia pesa kibao huku maabara hujachangia hata senti???

Mbwembwe zote wakikukata CC wafwa!!!!
 
siku hizi imekuwa fassion kuchukua fomu ya urais.ila wachukue tu mimi najua ntampigia nani kura wakati ukifika
 
Unatangaza nia kwa Mbwembwe kama unatafuta Publicity au Unajisafisha. Lakini kama unauhakika wananchi wanajua UTENDAJI kazi na USAFI wako kwanini uhangaike na kutumia pesa kibao huku maabara hujachangia hata senti???
Ripoti ya CAG kwenye wizara ya ujenzi bilioni 262 hazijukani zimekwenda sasa usafi wake uko wapi au ccm ukiiba unakuwa msafi kama yule wa monduli mnavyomsifia.
 
CCM wote ni wachafu tu ila wanatofautiana uchafu. Kwa maana hiyo kati ya Magufuli na Lowassa, ni bora Magufuli.
 
CCM wote ni wachafu tu ila wanatofautiana uchafu. Kwa maana hiyo kati ya Magufuli na Lowassa, ni bora Magufuli.

Hakuna bora wote ni wachafu hawafai bilioni 262 siyo pesa ndogo atuambie alizipeleka wapi kwanza?
 
Weka Picha mkuu,mbona amechukua bila kutangaza nia? Alisharudisha zile nyumba alizowauzia vimada na kuuza kwa bei ya karanga? Masaki anauza nyumba kwa milioni nane?
kumbe siyo bilioni 262 bado ana kashfa za kuuzia vimada nyumba za serikali?
 
Hakuna bora wote ni wachafu hawafai bilioni 262 siyo pesa ndogo atuambie alizipeleka wapi kwanza?
Kila mtu ana uhuru wa kuwa na mtazamo wake mkuu. Na huo ndio wangu. Kama hao wawili ndo the only choice, I would go for Magufuli rather than EL.
 
Japo siipendi ccm huyu bwn namheshim kwa utendaji wake wa kazi.
 
Suala uuzaji viwanda na nyumba za nhc tayari liliwekwa kwenye sera kabla yake, so yeye kazi ilikuwa ni utekelezaji. Ujue waziri hawezi kuamka na kuamua atakavyo.
 
Back
Top Bottom