Dk. Jonh Pombe Magufuli achukua fomu kugombea urais wa Tanzania

Dk. Jonh Pombe Magufuli achukua fomu kugombea urais wa Tanzania

Kila mtu ana uhuru wa kuwa na mtazamo wake mkuu. Na huo ndio wangu. Kama hao wawili ndo the only choice, I would go for Magufuli rather than EL.
Sawa una uhuru wako lakini kwenye wizi na uchafu hakuna mwenye afadhali.
 
Naunga mkono hoja. Mbwebwe hazisaidii zaidi zitakuletea aibu na majuto ukiukosa uraisssss
 
Kila mtu ana uhuru wa kuwa na mtazamo wake mkuu. Na huo ndio wangu. Kama hao wawili ndo the only choice, I would go for Magufuli rather than EL.
Weka tofauti kati ya lowasa na magufuli?
 
Weka tofauti kati ya lowasa na magufuli?

Lowassa yeye mwenyewe ni mwizi, na pili wapambe wake ndo majizi toka enzi za richmond mpaka Escrow. Sikulazimishi wala sina mpango wa kukulazimisha ukubaliane na mtazamo wangu. Kila mtu ana haki ya kuwa na mtazamo wake.
 
Wewe unafurahi ma Regional Manger wa TANROADS wanalia sasa amount ya hela walizoambiwa wachangie

Porojo kama kawaida.

Ebu weka hiyo account ya kuchangia ili na sie tumchangie huyu Jembe.
 
You are right kingmairo, magufuli is the best of all
 
Ni kweli but hiyo kashfa haijamlenga magufuli moja kwa moja bali ni wizara, anaweza kuhusika au asihusike kwani hiyo wizara ina watu wengi.
 
Ndo maana tunasema ndani ya ccm hakuna anayefaa kabisa wote wachafu.

Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza huyu ripoti ya CAG imebaini bilioni 262 hajijulikani zimeenda wapi.

Sawa una uhuru wako lakini kwenye wizi na uchafu hakuna mwenye afadhali.

KUMBE UNAJUA WOTE WEZI, MBOWE KAMA ALIVYO LOWASSA, CHADEMA KAMA WALIVYO CCM, WOTE WEZI!!
attachment.php

Twende na Jembe Magufuli au Mwigulu Nchemba
 
Emma nchi ukimtafitasafi 100% hutampata
 
Ni kweli but hiyo kashfa haijamlenga magufuli moja kwa moja bali ni wizara, anaweza kuhusika au asihusike kwani hiyo wizara ina watu wengi.

Siwezi sikiliza rubish, nyuma zimeuzwa kwa usimamizi na ushauri wake. Kimadawake amepata nymba mwenge kabomoa kajenga Kebbys hotel, hivyo ndiyo wananchi wanajua na ndiyo ukweli wa hilo jambo

Huna hoja, sikiliza hapo mhusika mkuu, Waziri Mkuu, anaeleza walioshauri nyumba ziuzwe na aliyefanya uamuzi nyumba ziuzwe na kwanin nyumba ziliuzwa.

https://www.youtube.com/embed/LofQGOS0bCM?wmode=opaque

Hiyo hoja ya nyumba ameishaimaliza Sumaye jana, asubuhi na mapema!tafuteni nyingine!
 
Weka Picha mkuu,mbona amechukua bila kutangaza nia? Alisharudisha zile nyumba alizowauzia vimada na kuuza kwa bei ya karanga? Masaki anauza nyumba kwa milioni nane?

milioni nane hata hapa kwetu tandale kwa ali maua siyo hivyo dah wametuchoka
 
You are right kingmairo, magufuli is the best of all

anajua wazi kuwa hatakuwa rais maana alishaelezwa wazi na sasa ni miezi saba tangu apewe kauli hiyo...leo anapochukua form ni katika kufikia malengo yaliyowekwa na chama chao.. ipo sababu..
 
KUMBE UNAJUA WOTE WEZI, MBOWE KAMA ALIVYO LOWASSA, CHADEMA KAMA WALIVYO CCM, WOTE WEZI!!
attachment.php

Twende na Jembe Magufuli au Mwigulu Nchemba
hajaelewa hata mada zile bilioni 262 zawizara ya ujenzi amezipeleka wapi magufuli amepeleka wapi hati chafu kwa vyama hata ccm ipo.
 
Emma hatugombani bali kila mtu anamtazamo wake, na kama ni ukweli ulisha sema, nami nimesema ninachokiamini.
 
Lowassa yeye mwenyewe ni mwizi, na pili wapambe wake ndo majizi toka enzi za richmond mpaka Escrow. Sikulazimishi wala sina mpango wa kukulazimisha ukubaliane na mtazamo wangu. Kila mtu ana haki ya kuwa na mtazamo wake.
Kwa hiyo magufuli ni msafi?
 
Back
Top Bottom