Dk. Jonh Pombe Magufuli achukua fomu kugombea urais wa Tanzania

Dk. Jonh Pombe Magufuli achukua fomu kugombea urais wa Tanzania

Hivi taifa linaingia gharama kiasi gani kutokana na kupanga nyumba za viongozi baada ya kuuza nyumba zake.
 
huyu jamaa kafanya madudu sana wizara ya ujenzi, alitumia sana mabavu kupisha sheria na maamuzi, kwa mfano project nyingi amezipeleka sehemu ambayo hata siyo feasible. Kwa mfano kuna feasibility study ilifanyika mwaka 2004. Study ilisema sehemu ya kyamyorwa - buzirayombo (120km) inayopita nyumbani kwa magufuli (chato) siyo feasible sehemu iliyokuwa feasible ni ya usagara - geita. Ila kwa ujeuri wake na kutojali fedha za walipa kodi alibadilisha maamuzi ili mradi upite nyumbani kwake. Sehemu ya kwake ilijengwa 2005, sehemu iliyokuwa feasible ilijengwa 2009. Huo ni mfano mmoja tu wa madudu ya huyu jamaa, akipewa nchi si itakuwa balaaView attachment 257150View attachment 257151
ukiishakuwa mfuasi wa lowassa huna haki tena ya kuzungumzia uadilifu, maana kama kwako lowassa ni msafi basi hakuna tena aliye mchafu.
 
Kapwela Magufuli akivuka round ya kwanza kwa CC iliyopo, ninaama nchi. Hana track record yotote kwenye chama. Hakuna hata barabara moja iliyojengwa kwa funds za GoT iliyodumu kwa design period. Kanunua meli ya kwenda Bagmoyo inatumia masaa manne, kakamata meli ya wavuvi wachina tumelipa fidia, kauza nyumba za Serikali kwa bei chini kuliko viwanja vya Mapinga Bagamoyo. Project nyingi zime fail kabla hata hazijafunguliwa sasa ni upofu mnao au nini?
...............................................................................................................................................................
ukiishakuwa mfuasi wa lowassa huna haki tena ya kuzungumzia uadilifu, maana Lowassa ndio msingi na mzizi wa uchafu na ufisadi katika taifa hili, hivyo kama kwako lowassa ni msafi basi hakuna tena aliye mchafu.
 
Nilikuwa namkubali jamaa ila ndo ivyo tena zile 262 bill na iki kivuko cha bagamoyo mimi choka kabisa
 
Jembe huoni hata aibu kusema. Maeneo yote nyeti wameuziwa watu binafsi, including vimada wake e.g Kebbys Hotel. Wewe umekaa kushabikia upuuzi. Huyu mtu angekuwa China angekuwa ameshanyongwa siku nyingi

nyi mmetumwa na Lowassa tu.
 
Zile bilioni 262 zimeenda wapi?

Naamini tutapata taarifa rasmi juu ya taarifa hiyo ya CAG toka kwa wizara ya ujenzi na toka kwa Chadema juu ya taarifa ya CAG.

Haya tuhamie masuala mengine wakati tukisubiri majibu rasmi toka kwa wizara ya ujenzi na toka kwa Chadema juu ya report ya CAG.

attachment.php



[/QUOTE]
 
Emma, kama huna ya kuongea kaa kimya, siku ya pili sasa huna hoja nyingine?kila sentesi mbili unarudia hayohayo.Grow!!

Huyu ni team Lowassa. Hawa team Lowassa wanamwogopa sana Magufuri. ndiyo maana kila mara wanajitahidi kumshusha Magufuri. Ukweli ni kwamba you cannot fool all people, Kazi aliyoufanya Magufuri inaonekana!!
 
Hapo ndo akili ya watanzania siwaelewi. Kama anaweza kuwa mtendaji atashindwa nini kuwa rais.

Alafu wanalalamika mambo hayaendi na wakati huohuo hawataki mtendaji?watu wengine akili zao zinawatosha wenyewe.


Wengine eti kwao Fisadi Lowassa ndio chaguo la urais alafu eti wanajifanya kuzungumzia usafi, toka lini aliye ndani ya tope mwili mzima akaona mwingine kuwa mchafu??maigizo matupu!!
 
Alafu wanalalamika mambo hayaendi na wakati huohuo hawataki mtendaji?watu wengine akili zao zinawatosha wenyewe.


Wengine eti kwao Fisadi Lowassa ndio chaguo la urais alafu eti wanajifanya kuzungumzia usafi, toka lini aliye ndani ya tope mwili mzima akaona mwingine kuwa mchafu??maigizo matupu!!

Mi siyo CCM lakini utendaji wa Magufuri ni credit tosha. Nahofia kama watanzania ni wa namna hii itatuchukua karne kuendelea. Wakati mwingine nadhani hawa wanaandika purposely kutetea mafisadi. Hii ndiyo aliyosema Msigwa ya akili ndogo kutawala kubwa!
 
Huyu jamaa kafanya madudu sana wizara ya Ujenzi, alitumia sana mabavu kupisha sheria na maamuzi, kwa mfano project nyingi amezipeleka sehemu ambayo hata siyo feasible. kwa mfano kuna feasibility study ilifanyika mwaka 2004. Study ilisema sehemu ya Kyamyorwa - Buzirayombo (120km) inayopita nyumbani kwa Magufuli (Chato) siyo feasible sehemu iliyokuwa feasible ni ya Usagara - Geita. Ila kwa ujeuri wake na kutojali fedha za walipa kodi alibadilisha maamuzi ili mradi upite nyumbani kwake. Sehemu ya kwake ilijengwa 2005, sehemu iliyokuwa feasible ilijengwa 2009. huo ni mfano mmoja tu wa madudu ya huyu jamaa, akipewa nchi si itakuwa balaaView attachment 257150View attachment 257151

Eleza mazuri aliyofanya basi, au yeye kaharibu kila kitu wizara ya ujenzi.
 
Mh. Magufuli amefanya kile ambacho wengi hawakuweza. Na ameepuka kosa kubwa la kiufundi. Kuepuka ku pre-rmpty Ilani ya uchaguzi ya chama. Maana hata uimbe mpaka asubuhi, hata uwe na kipaumbele gani, Ilani ya chama ndio itakayokuongoza katika kusimamia serikali na maendeleo ya nchi. Yeye amesema atasimamia Ilani, na vipaumbele vyake vitatokana na Ilani ya Chama.
 
Back
Top Bottom