Emma, kama huna ya kuongea kaa kimya, siku ya pili sasa huna hoja nyingine?kila sentesi mbili unarudia hayohayo.Grow!!
Kutafuta mgombea uraisi msafi ndani ya ccm ni sawa kutafuta mwanamke bikra kwenye wodi ya wazazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Emma, kama huna ya kuongea kaa kimya, siku ya pili sasa huna hoja nyingine?kila sentesi mbili unarudia hayohayo.Grow!!
ila amenisikitisha alivyosema ndo anaenda kuisoma! inamaana hajajiandaa hata kwa vitu vidogo kama kupitia ilani ya chama?
Kila anayeomba hafai. Nafikiri nchi yote ni uozo. Lakini kwa muono wa mbali na upofu wangu, katika wote waliotangaza nia toka chama nambari one, angalau magufuri anaweza kupata kura nyingi za halali bila kukilazimu chama chetu kuiba sana. Makongoro ni wa 2Siwezi sikiliza rubish, nyuma zimeuzwa kwa usimamizi na ushauri wake. Kimadawake amepata nymba mwenge kabomoa kajenga Kebbys hotel, hivyo ndiyo wananchi wanajua na ndiyo ukweli wa hilo jambo
Kila anayeomba hafai. Nafikiri nchi yote ni uozo. Lakini kwa muono wa mbali na upofu wangu, katika wote waliotangaza nia toka chama nambari one, angalau magufuri anaweza kupata kura nyingi za halali bila kukilazimu chama chetu kuiba sana. Makongoro ni wa 2
Haha haaa huyu magufuli ataishia uwaziri milele ikulu ataenda ktk vikao vya baraza na si vinginevyo.hakuna laana kama nyumba alizouza.sheetKila anayeomba hafai. Nafikiri nchi yote ni uozo. Lakini kwa muono wa mbali na upofu wangu, katika wote waliotangaza nia toka chama nambari one, angalau magufuri anaweza kupata kura nyingi za halali bila kukilazimu chama chetu kuiba sana. Makongoro ni wa 2
Jembe la ukweli hilo, Magufuli ndio mwente track record anayeweza kututoa point A mpaka B kwa slope iliyo chanya.[/QUOTE
]
Huyu bwana hajamaliza hata mwezi kazini tayari anashambulia wanasiasa.
Prof.Assad amehojiwa na idhaa ya Kiswahili ya UN, na kutoa madai kwamba Tanzania kuna tatizo la "POLITICAL ENTREPRENEURSHIP."
Anadai watu wanaendekeza faida binafsi ktk maamuzi yao wakiwa madarakani.
Amekwenda mbali na kusema ule mradi wa MAGUFULI wa kuuza NYUMBA ZA SERIKALI ni mfano wa "POLITICAL ENTREPRENEURSHIP."
Kwa kweli Professor atakaporudi nyumbani anapaswa at least aseme kuwa alinukuliwa vibaya, hata kama kuna ushahidi wa sauti yake.
Mahojiano yake yapo hapa chini, lakini specifically unaweza kuanzia dakika ya 6.
Tutatekeleza majukumu kukidhi matarajio: Profesa Assad | Idhaa ya Redio ya UM
mwambie atuambie zile 262 za wizara ya ujenzi alipeleka wapi ripoti ya CAG hajaona hizo pesa zilifanyiwa nini?
ukiishakuwa mfuasi wa lowassa huna haki tena ya kuzungumzia uadilifu, maana kama kwako lowassa ni msafi basi hakuna tena aliye mchafu.
Viongozi a Tanzania hawatekelezi majukumu yao ipasavyo kiasi kuwa akitokea mtu wa mtulinga kama Magufuli basi anaonekana ndiye mtenda kazi. Sielewe lile sakata la samaki wa Magufuli lilishia wapi, je wachina wale walilipwa fidia na serikali? Kuhusu agizo la kuogelea kutoka Kigambo kwenda Magogoni nasikia vijkana waliotekelez agizo hilo walikamatwa na kuswekwa ndani, je kesi yao iliishaje?
Weka Picha mkuu,mbona amechukua bila kutangaza nia? Alisharudisha zile nyumba alizowauzia vimada na kuuza kwa bei ya karanga? Masaki anauza nyumba kwa milioni nane?