Dk. Jonh Pombe Magufuli achukua fomu kugombea urais wa Tanzania

Dk. Jonh Pombe Magufuli achukua fomu kugombea urais wa Tanzania

Emma, kama huna ya kuongea kaa kimya, siku ya pili sasa huna hoja nyingine?kila sentesi mbili unarudia hayohayo.Grow!!

Kutafuta mgombea uraisi msafi ndani ya ccm ni sawa kutafuta mwanamke bikra kwenye wodi ya wazazi.
 
Ninaona dalili za yeye kushinikizwa kwa sababu aliwahi sema hana mpango na urais.Hata leo amedhihirisha hilo,eti ngoja nikasome ilani ya ccm halafu ndio nitaongea,dalili za kutudanganya.
 
Siwezi sikiliza rubish, nyuma zimeuzwa kwa usimamizi na ushauri wake. Kimadawake amepata nymba mwenge kabomoa kajenga Kebbys hotel, hivyo ndiyo wananchi wanajua na ndiyo ukweli wa hilo jambo
Kila anayeomba hafai. Nafikiri nchi yote ni uozo. Lakini kwa muono wa mbali na upofu wangu, katika wote waliotangaza nia toka chama nambari one, angalau magufuri anaweza kupata kura nyingi za halali bila kukilazimu chama chetu kuiba sana. Makongoro ni wa 2
 
Lini utaacha umamluki
 
Jembe la ukweli hilo, Magufuli ndio mwente track record anayeweza kututoa point A mpaka B kwa slope iliyo chanya.
 
Viongozi a Tanzania hawatekelezi majukumu yao ipasavyo kiasi kuwa akitokea mtu wa mtulinga kama Magufuli basi anaonekana ndiye mtenda kazi. Sielewe lile sakata la samaki wa Magufuli lilishia wapi, je wachina wale walilipwa fidia na serikali? Kuhusu agizo la kuogelea kutoka Kigambo kwenda Magogoni nasikia vijkana waliotekelez agizo hilo walikamatwa na kuswekwa ndani, je kesi yao iliishaje?
 
Kila anayeomba hafai. Nafikiri nchi yote ni uozo. Lakini kwa muono wa mbali na upofu wangu, katika wote waliotangaza nia toka chama nambari one, angalau magufuri anaweza kupata kura nyingi za halali bila kukilazimu chama chetu kuiba sana. Makongoro ni wa 2
Haha haaa huyu magufuli ataishia uwaziri milele ikulu ataenda ktk vikao vya baraza na si vinginevyo.hakuna laana kama nyumba alizouza.sheet
 
Jembe la ukweli hilo, Magufuli ndio mwente track record anayeweza kututoa point A mpaka B kwa slope iliyo chanya.[/QUOTE
]
Huyu bwana hajamaliza hata mwezi kazini tayari anashambulia wanasiasa.

Prof.Assad amehojiwa na idhaa ya Kiswahili ya UN, na kutoa madai kwamba Tanzania kuna tatizo la "POLITICAL ENTREPRENEURSHIP."

Anadai watu wanaendekeza faida binafsi ktk maamuzi yao wakiwa madarakani.

Amekwenda mbali na kusema ule mradi wa MAGUFULI wa kuuza NYUMBA ZA SERIKALI ni mfano wa "POLITICAL ENTREPRENEURSHIP."

Kwa kweli Professor atakaporudi nyumbani anapaswa at least aseme kuwa alinukuliwa vibaya, hata kama kuna ushahidi wa sauti yake.

Mahojiano yake yapo hapa chini, lakini specifically unaweza kuanzia dakika ya 6.

Tutatekeleza majukumu kukidhi matarajio: Profesa Assad | Idhaa ya Redio ya UM
 
mwambie atuambie zile 262 za wizara ya ujenzi alipeleka wapi ripoti ya CAG hajaona hizo pesa zilifanyiwa nini?

Kumbe Emma unajuaga CAG ANAFANYA UKAGUZI NA KUBAINI MAKOSA,KULE CHADEMA MBONA ULIKUA UNABISHA, KUMBE UKIWA FORUM NYINGINE UNAFUNGUKA??????????Kweli we kilaza
 
ukiishakuwa mfuasi wa lowassa huna haki tena ya kuzungumzia uadilifu, maana kama kwako lowassa ni msafi basi hakuna tena aliye mchafu.

Pole sana hata Mh.Pinda kajenga uwanja wa ndege Katavi na hata barabara ya Kizi - Kibaoni! hoji na wengine wengi tu acha kumshambuia Magufuli.
 
Viongozi a Tanzania hawatekelezi majukumu yao ipasavyo kiasi kuwa akitokea mtu wa mtulinga kama Magufuli basi anaonekana ndiye mtenda kazi. Sielewe lile sakata la samaki wa Magufuli lilishia wapi, je wachina wale walilipwa fidia na serikali? Kuhusu agizo la kuogelea kutoka Kigambo kwenda Magogoni nasikia vijkana waliotekelez agizo hilo walikamatwa na kuswekwa ndani, je kesi yao iliishaje?

Magufuli, yote hayo alifanya kiu sahihi na kisheria. Matokeo yaliyotokea baadae ni udhaifu wa usimamizi wa sheria na ndio maana tunamtaka ili watu wapate kufuata usimamizi wa sheria na haki.
Kwa Tanzania kwa sasa, mtu anaweza shika mtu ugoni akifanya mapenzi na mkeo, lakini bado wewe uliemshika ukaswekwa jela. Kuswekwa kwako jela hakuna maana kwamba ulifanya makosa kumshika jamaa akifanya ngono na mkeo, ama ni nia ya ku-justify kwamba ulifanya mabaya kumkamata jamaa.

Hapa ni sawa na kusema MWAKYEMBE ana makosa ktk sakata la RICHMORD maana serikali ilishindwa na ikalipa faini na bado inaendelea kulipa.
Magufuli ndo chaguo sahihi, akifuatiwa na Makongoro kwa mbali.
 
Weka Picha mkuu,mbona amechukua bila kutangaza nia? Alisharudisha zile nyumba alizowauzia vimada na kuuza kwa bei ya karanga? Masaki anauza nyumba kwa milioni nane?

Kuchukua fomu ndiyo kutangaza nia kwenyewe, amethibitisha nia yake kwa kuanza mchakato!
 
Back
Top Bottom