Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jembe la ukweli hilo, Magufuli ndio mwente track record anayeweza kututoa point A mpaka B kwa slope iliyo chanya.[/QUOTE
]
Huyu bwana hajamaliza hata mwezi kazini tayari anashambulia wanasiasa.
Prof.Assad amehojiwa na idhaa ya Kiswahili ya UN, na kutoa madai kwamba Tanzania kuna tatizo la "POLITICAL ENTREPRENEURSHIP."
Anadai watu wanaendekeza faida binafsi ktk maamuzi yao wakiwa madarakani.
Amekwenda mbali na kusema ule mradi wa MAGUFULI wa kuuza NYUMBA ZA SERIKALI ni mfano wa "POLITICAL ENTREPRENEURSHIP."
Kwa kweli Professor atakaporudi nyumbani anapaswa at least aseme kuwa alinukuliwa vibaya, hata kama kuna ushahidi wa sauti yake.
Mahojiano yake yapo hapa chini, lakini specifically unaweza kuanzia dakika ya 6.
Tutatekeleza majukumu kukidhi matarajio: Profesa Assad | Idhaa ya Redio ya UM
Acha propaganda za kisiasa
Hivi kwa akili yako leo waziri wa utalii anaweza kuja na kusema, okay ngoja niuuze mlima kilimanjaro ama mbuga ya serengeti. Mambo mengine hayahitaji ku-argue.
Poleni sana, naona kambi ya Monduli mmeamua kuwa wapole sasa...na bado mpaka huyo Mzee wenu atajuta kwa nini alikubali ushauri wa wapambe koko!
Ripoti ya CAG kwenye wizara ya ujenzi bilioni 262 hazijukani zimekwenda sasa usafi wake uko wapi au ccm ukiiba unakuwa msafi kama yule wa monduli mnavyomsifia.
mwite ukanywe naye chai mv. dsm, bil. 252 za bara2 zimedelete.
Pole sana hata Mh.Pinda kajenga uwanja wa ndege Katavi na hata barabara ya Kizi - Kibaoni! hoji na wengine wengi tu acha kumshambuia Magufuli.
huyu jamaa ni mchafu sana
eti barabara inatengenezwa klmt kadhaa akiwepo mpaka zinaisha anasema mbomoe ?????
ulikuwa wapi wakianza kilometa ya kwanza,ya pili????
hizi gharama ni za nani?????
angalia madudu ya kilwa road
barabara inatengenezwa mwaka sasa
Amemuhonga hawara yake nyumba za serikali,,hafai kabisa huyu
ratiba ya jana ilionyesha hivyo..amechukua bila kutangaza nia aakijiamini kwamba watz wanajua utendaji wake...waache wamlete mwizi huyu ....lazima atwambie zile 268 bil zimeenda wapi
mwambie atuambie zile 262 za wizara ya ujenzi alipeleka wapi ripoti ya CAG hajaona hizo pesa zilifanyiwa nini?
Jembe huoni hata aibu kusema. Maeneo yote nyeti wameuziwa watu binafsi, including vimada wake e.g Kebbys Hotel. Wewe umekaa kushabikia upuuzi. Huyu mtu angekuwa China angekuwa ameshanyongwa siku nyingi
Hili nalo jizi tu.yaan huu mwaka kura yangu ni ukawa tu
huyu jamaa ni mchafu sana
eti barabara inatengenezwa klmt kadhaa akiwepo mpaka zinaisha anasema mbomoe ?????
ulikuwa wapi wakianza kilometa ya kwanza,ya pili????
hizi gharama ni za nani?????
angalia madudu ya kilwa road
barabara inatengenezwa mwaka sasa
anawadanganya wachache na takwimu zake tangu enzi zile za kuhesabu idadi ya sangara
Huyu wananchi wenyewe kila anakopita ndivyo wanavyomuita.Hiyo ya kuita jembe sio mie nimembatiza, ndivyo Watanzania wenyewe walivyombatiza kila akiienda kwenye mikutano.
https://www.youtube.com/watch?v=5SOm4YS-T3k
https://www.youtube.com/watch?v=8Zm_ssRNjyI
Huyu jamaa hana haja ata ya kuhonga pesa kama yule wa Monduli.Huyu anakubadilika tu.
kama na huyu hafai basi kabaki PINDA.