Dk. Jonh Pombe Magufuli achukua fomu kugombea urais wa Tanzania

We kima ushavuta bange enh?? Huo ulikuwa mpango wa serikali...fyatu weww

kama mpango ukiwa ovu unatakiwa uupinge na wakigoma unajiuzulu,jizi magufuli alisimamia uovu,akajipa nyumba,moja akampa mdogo wake,nyingine akamhonhga mchepuko wake...
 
kama mpango ukiwa ovu unatakiwa uupinge na wakigoma unajiuzulu,jizi magufuli alisimamia uovu,akajipa nyumba,moja akampa mdogo wake,nyingine akamhonhga mchepuko wake...

Kwisheni kazi huyu mtabwabwaja sana lakini ni tishio, cha msingi muombe apitishwe Lowassa ili muwachane vizuri!
 
Peleka hilo swali kwenye thread ya Sumaye alishaelezea nani aliuza hizo nyumba...acha udaku
Hivi taifa linaingia gharama kiasi gani kutokana na kupanga nyumba za viongozi baada ya kuuza nyumba zake
.

Peleka hilo swali kwenye thread ya Sumaye alishaelezea nani aliuza hizo nyumba...acha udaku

hujajibu swali.
 
Ni kweli..uko sahihi sijajibu swali..na ndo maana nimekupeleka kwenye thread ya Sumaye...yeye ndo amejibu swali la uuzwaji wa nyumba. Ebo!
 
Mkuu nashukuru sana........HAYA MANYUMBU yana matatzo sana
 
ratiba ya jana ilionyesha hivyo..amechukua bila kutangaza nia aakijiamini kwamba watz wanajua utendaji wake...waache wamlete mwizi huyu ....lazima atwambie zile 268 bil zimeenda wapi
Mkuu bado upo hai?
 
anajua wazi kuwa hatakuwa rais maana alishaelezwa wazi na sasa ni miezi saba tangu apewe kauli hiyo...leo anapochukua form ni katika kufikia malengo yaliyowekwa na chama chao.. ipo sababu..
Mbona alikua Rais!!?Nini kilitokea hadi akapewa!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…