Dk. Lwaitama ainanga kambi ya Lissu, asema kwamba kama kupendwa hata DiamondPlatnumz anapendwa sana, lakini huwezi kumpa uongozi wa chama

Amesema hiyo hoja haina mashiko ya kifalsafa. Muwe mnaelewa, mnatupa kazi sana kuwafafanulia.
Tuseme tunakubali hoja haina mashiko ya kifalsafa kwa sababu pingamizi analotoa Lissu linamgusa Lissu na Mbowe. Habari hii inaweza kupingika lakini tuseme tunamkubalia Lwaitama.

Tukimkubalia Lwaitama kwamba haitakiwi pingamizi limguse Lissu lakini lisimguse Mbowe, basi liwaguse wote, Lissu na Mbowe wote wasigonbee uenyekiti, atakubali Mbowe asigombee uenyekiti?

Au anatumia sarakasi za kumtetea Mbowe kwa equivocation wakati hayupo tayari kumuondoa Mbowe kwenye uenyekiti?
 
Sijui kama ungepata nafasi kwenye madarasa ya wanafalsafa wa uyunani
 
Dr anaendelea kudhihirisha kuwa 2020 hakuna kura ya CHADEMA iliyoibiwa katika uchaguzi wa Uraisi,isipokuwa hata CHADEMA wenyewe walijua kabisa kuwa walikuwa wamempa mtu kijiti ambae hafai kuwa kiongozi,vinginevyo Dr afute kauli yake,pia Dr ajue kila mtu anapendwa kulingana na sekta au eneo lake ,sasa kuMlinganisha Diamond na Lisu , hii haipo sawa kabisa,Lisu mwanasiasa,Ukimpandisha Kwenye jukwaa la muziki hatopendwa kwa sababu siyo eneo lake hilo,Diamond msanii ukimpandisha kwenye jukwaa la muziki atapendwa kwa kuwa ndio eneo lake, lakini Diamond anaongoza taasisi kama Wasafi moja ya taasisi zinazofanya vyema na kutengeneza ajira,ila siyo ajira ya kisiasa
 
Sijui kama ungepata nafasi kwenye madarasa ya wanafalsafa wa uyunani

This logical fallacy is called appeal to authority.

It is also mixed with another logical fallacy, appeal to tradition.

Wanafalsafa wa Uyunani washapitwa na wakati. Wengi waliamini elements za earth, water, fire and air, wakati leo tunajua elements za the periodic table.

Wewe ndiye hata huelewi immanent critique ni nini.
 
Lissu anawatesa sana.
kamati kuu inamtesa zaidi,
30m kweli? na wakati wanajua kabisa kibaraka ni mtu wa kuomba omba kuchangiwa vitu mbalimbali na wadau?

hii si sawa,
huko ni kumtesa mtu wa watu na hali yake ile dah, inatia huruma 🐒
 
Kwamba umeamua kumtukana Dkt. Lwaitama au?
Anawezaji akawaweka Lissu na Diamond katika mzani mmija? Kwani Diamind ametangaza kugimbea?
 
huyu mzee akitumia mike usi share naye huwa inalowa mate na mapovu mwanzo mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…