Dk. Mpango akunjua makucha aivaa Wizara ya Nishati kusuasua kwa mradi wa umeme

Safi ,huku ndio kumsaidia Rais sio kuwa VP wa matamasha na sijui kutumwa hapana..

Wakisingua hao Waziri atasogeza file kwa Maza kupitisha wino mwekundu..
 
Dk Mpango endelea kukunjua makucha kweli kweli fuatilia mambo yote yanayolalamikiwa kwenye Wizara ya Nishati usiishie huo mradi wa Katavi
Makamu aendelee kusimamia ili kupunguza kero kwa wananchi
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…