LioneNajulia wapi mimi huku nilipo. Msiba wa Grendimaza Eliza tu nimeambiwa jana.
Acha Ujinga wewe. RC ana kazi nyingi kukaa kupatanisha kila jamaa yako anapogombana na mwingine. Kati ya hao unaowataja nani ndo mtu wako? Je wamo humu? Si uende ukaongee nao?acheni ujinga huo.Namshauri Dk mwaka aombe radhi tu, hakuna atakachopungukiwa. Analeta malumbano yasiyo na msingi.
Namshauri Mkuu wa Mkoa amwite na kumnasaha aombe radhi, ikishidikana RPC amwite kwa mahojiano, maana analeta viashiria vya uvunjifu wa amani nchini. Ahojiwe,labda anatumika na kundi ambalo haliitakii mema nchi yetu
[emoji23][emoji28]Unaandika huku unakichukulia sheria mkononi?
Atakuwa kabeba boga huyu si bureHivi nyie watu mna ubongo au takataka, yaani RC au RPC apoteze muda wake amuite Dr
Fake Mwaka? Huyo Mwaka sio Dr ni fake tu, alafu acheni ujinga, kweli RC ana majukumu mazito kila siku ahangaike kumtafuta Mwaka? Mleta mada unabeba kichwa au boga?
Yule kiongozi mfiraji aliyechanwa laivu ndio aombe radhi kwa kuichafua dini ya hakiNamshauri Dk mwaka aombe radhi tu, hakuna atakachopungukiwa. Analeta malumbano yasiyo na msingi.
Namshauri Mkuu wa Mkoa amwite na kumnasaha aombe radhi, ikishidikana RPC amwite kwa mahojiano, maana analeta viashiria vya uvunjifu wa amani nchini. Ahojiwe,labda anatumika na kundi ambalo haliitakii mema nchi yetu
Wewe ni mzigoNamshauri Dk mwaka aombe radhi tu, hakuna atakachopungukiwa. Analeta malumbano yasiyo na msingi.