Pre GE2025 Dk. Nchimbi: Wana CCM na Wanasiasa wa Vyama vingine tuchunge ndimi zetu

Pre GE2025 Dk. Nchimbi: Wana CCM na Wanasiasa wa Vyama vingine tuchunge ndimi zetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amewataka Wanasiasa Nchini kutumia vizuri ndimi zao na kamwe wasitoe matamshi ambayo yanaweza kuhatarisha amani na utulivu.

Balozi Dk. Nchimbi ameyasema hayo jana August 13, 2024 alipokua akiongea na Wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Uwanja, Geita Mjini.

Soma Pia: Balozi Nchimbi aonya Viongozi Kutoa Kauli za Kibaguzi

Balozi Nchimbi amesema Wanasiasa wasijisahau katika kuchagua maneno yanayoweza kuhatarisha amani ya Tanzania na kuongeza kuwa wako Watu wanajisahau, hivyo amewaomba Watanzania wasijisahau.
 
Amani ndio gia yenu ya kuwatia watu uzezeta muendelee kula peke yenu.

Kama hiyo ndio amani yenyewe hatuitaki wacha kinuke tu ili tuheshimiane.
 
Back
Top Bottom