Tetesi: Dk Shoo kapigwa chini!Kagomea matokeo.

Tetesi: Dk Shoo kapigwa chini!Kagomea matokeo.

Status
Not open for further replies.

alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
2,032
Reaction score
3,197
Habari za ndani kabisa zinatabanaisha kwamba jamaa kapigwa chini na kagomea matokeo!

Imeelezwa yule mfupi wa Karagwe kagomea matokeo na kambi yake inalazimisha uchaguzi urudiwe na kambi nyingine ikiongozwa na wa Iringa na Rukwa wanataka uchaguzi usirudiwe.Hatari!
 
Nani amekuambia wewe mzushi??Msituletee propaganda kwenye kanisa letu.Iwe Shoo ama nani.Mungu ndiye anasimamisha na sio wazushi kama ninyi
Mungu yupo Rc na si kwingineko.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom