Dk Slaa: Bado naweza kurudi kuwa Padre

Dk Slaa: Bado naweza kurudi kuwa Padre

Anaweza kurudi coz alitumwa na kanisa kufanya siasa ili kutetea maslahi ya kanisa!!akiomba kurudi atakubaliwa tu!!!
 
mwanasiasa ni mwanasisa tu uongo uongo mwingi ujanja ujanja kujidai kwamba hakuutaka uongozi ila wananchi ndio walimwomba akagombee kitu ambachoni sio kweli ,swala la uchaguzi uliopita likiwapo jimbo la karatu amepiga chenga kulijibu anajing'ata n'gata ,swala wa bunge viti maalumu cdm kama anavyo jiita mtu wa princple ameoneesha unaafiki kuto kukemea kile kinachotakiwa kufanyika kulinda misingi ya haki na katiba amejiuma uma kwa sababu yupo upande ule ule wa serikali iliyopo madarakani kama mtu wa principle anatakiwa a hit the point .swala mbowe bado anapiga chenga za mwili .Tusi mwamini mwanasiasa wengi wapo kimaslahi binafsi wakipta upenyo wa kubunya wanabadilika mchana peupe nakuwaacha raia solemba.
 
Na mke wake vipi? Au mzee network imekata anaona bora arudi tu kwenye altar
 
Namuona hapa TBC1 balozi mstaafu Dk slaa anapiga kamba eti kwa kanuni za kabisa canon law anaweza kurejea madhabahuni akawaongoza kandoo za bwana waende mbinguni

Eti wajuvi ni kweli huyu Mwanasiasa anaweza kurudi kanisani au ndio tunapigwa kamba

USSR

Huyu Mzee ni mtu wa hovyo sana, Na Kama ni kweli then huo ukatoliki utakuwa una matatiz
 
Namuona hapa TBC1 balozi mstaafu Dk slaa anapiga kamba eti kwa kanuni za kabisa canon law anaweza kurejea madhabahuni akawaongoza kandoo za bwana waende mbinguni

Eti wajuvi ni kweli huyu Mwanasiasa anaweza kurudi kanisani au ndio tunapigwa kamba

USSR
Akatubu kwanza dhambi zake kwa usaliti alioufanya kwa watanzania
 
Aombe sana sheria ya mapadri kuoa iharakishwe uko Vatican atarudi madhabahuni.
Kwa hiyo upadre kwake ameufanya kitu cha kujifurahisha tu. Alikuwa padre mwenye madaraka makubwa ndani ya baraza la maaskofu (TEC) akaamua kuondoka kwenda kwenye NGO , akatoka kwa tuhumu za ubadhirifu. Baada ya hapo kwenye siasa za upinzani... huko nako mambo hayakwenda vizuri hakuelewana na wenzake. Akasaliti upinzani akaenda Canada sabathical leave na akafanya kazi za kuajiriwa kwenye maduka makubwa " supermarkets". Baada ya hapo akateuliwa balozi Sweeden- hakuna tangible work yoyote tunayoijua aliyofanya muda wake wowote wa ubalozi. Leo amestaafu kwa sababu ya umri- anataka kutuaminisha kanisa Katoliki is such a loose organization inayoweza kumchukua mtu wa caliber hii?????
 
Huyu Dr. Slaa anapenda sana nyapu kuliko madhabahabu, sijui ilikuwaje akawa padri?

Kuna namna kanisa katoliki linakosaga umakini katika vetting ya kupata mapadri.
Zamani wakati anaingia upadri alikuwa mwema sema yule mwanamke josephine alimtongoza mheshimiwa huyu akatepetaaaa
 
Back
Top Bottom