Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Nilicomment kwenye Ile Uzi wa kipumbavu sana dogo akaja na maswali ya kijinga eti una hakika Slaa ni irrelevant kwa sasa? Nilimwambia Nina uhakika asilimia Mia moja hakuna atakayehangaika nae huyo mjinga, hakunaga padri mjinga namna Ile heri aliacha upadri,Si alikuwa asimamishe Nchi tarehe 3 December imekuaje tena?