Dk Slaa: Bado naweza kurudi kuwa Padre

Ndio anaweza.Upadri na Sakramenti na ni wito.Kabla ya sheria kurekebishwa Mapadre walikuwa na wake na familia na hata sasa suala la kutokuoa ni suala la hiari (hiary ya lazima). Hivyo Dr. Slaa akiomba kuwa Padri na mama kanisa akiona kwamba inafaa(kwa kuongozwa na roho mtakatifu) basi anaweza kurudi kuendelea kuchunga kondoo wa bwana.
 
Tatizo la JF kila hoja zinajibiwa kimihemko au kiupande....mtoa mada kauliza swali la msingi ingefaa weledi wajibu kiweledi kwa faida ya wengi maana elimu haina mwisho.....lakini badala yake zinakuja dhihaka na matusi......

Watanzania tubadilikeni tusiviegemeze vichwa na mioyo yetu kwenye haya mambo kila wakati inaminya uwezo wa UBONGO kuchanganua mambo ya msingi.....
 
Hawezi kwasababu aneishaoa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 

Kuna askofu mkuu alikuwa Zambia nadhani. Alikuwa na karama ya kuombea wagonjwa wakapona nk. Akaacha kufuata mpango wa kanisa wa kutoa karma. Akajiengua akajiunga na kanisa la huko Asia na kupewa mke. Mwisho alirudi tena katoliki. Sijujui yuko wapi lakini vyombo vya habari vilisema yuko rome. Hivyo chochote kibawezekana kwani bado ni padre. Hizo ndoa ni za area commisioner alizofanya.
 

Kuna askofu mkuu alikuwa Zambia nadhani. Alikuwa na karama ya kuombea wagonjwa wakapona nk. Akaacha kufuata mpango wa kanisa wa kutoa karma.

Akajiengua akajiunga na kanisa la huko Asia na kupewa mke. Mwisho alirudi tena katoliki. Sijujui yuko wapi lakini vyombo vya habari vilisema yuko rome. Hivyo chochote kibawezekana kwani bado ni padre. Hizo ndoa ni za area commisioner alizofanya.
 
Anajaribu kupoteza mawazo kwa kujifariji.
 
Kama anaweza arudi. Aache porojo
 
Anaweza kurudi kwaajili ya kusafisha utandu na buibui kwenye madirisha
 
Kanuni za roman Catholic church zinaruhus ,hla suala la yy kusmama tena altaren 😟 never,
Ye alkmbia so akirud atakla kifungo cha kutokutoa huduma maisha.
 
Ukishakuwa chama Fulani unakuwa sawa na mungu angebakia kule kule asingekuwa na nguvu hiyo
 
Kwanini asiweze au kwasababu alioa? Mbona ndoa sa mashoga papa aliruhusu au mwanaume kuoa mwanamke ndo kosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…