Nilicomment kwenye Ile Uzi wa kipumbavu sana dogo akaja na maswali ya kijinga eti una hakika Slaa ni irrelevant kwa sasa? Nilimwambia Nina uhakika asilimia Mia moja hakuna atakayehangaika nae huyo mjinga, hakunaga padri mjinga namna Ile heri aliacha upadri,Si alikuwa asimamishe Nchi tarehe 3 December imekuaje tena?
Kaangalia future ya watoto wake.Ndio amesema family yake ipo canada
USSR
Si bora yake anayezini na mke kuliko mapadre wanaogeuzana!Kuoa kwake ni uzinzi. Kwasababu ndoa yake takatifu ni upadre.
yeye ndiye kalianzisha, wache wadau wampe dawaMwacheni Dr Mihogo apumzike
Mungu hadhihakiwi, ipo siku atasema mambo ya jalalaniNamuona hapa TBC1 balozi mstaafu Dkt. Slaa anapiga kamba eti kwa kanuni za Kanisa canon law anaweza kurejea madhabahuni akawaongoza kandoo za bwana waende mbinguni.
Eti wajuvi ni kweli huyu Mwanasiasa anaweza kurudi kanisani au ndio tunapigwa kamba.
USSR
KachanganyikiwaNamuona hapa TBC1 balozi mstaafu Dkt. Slaa anapiga kamba eti kwa kanuni za Kanisa canon law anaweza kurejea madhabahuni akawaongoza kandoo za bwana waende mbinguni.
Eti wajuvi ni kweli huyu Mwanasiasa anaweza kurudi kanisani au ndio tunapigwa kamba.
USSR
Kufanya nini?Amesharudi Madhabahuni ama bado?
Hivi huyu si yupo kwenye uchumba sugu na Josefina?Namuona hapa TBC1 balozi mstaafu Dkt. Slaa anapiga kamba eti kwa kanuni za Kanisa canon law anaweza kurejea madhabahuni akawaongoza kandoo za bwana waende mbinguni.
Eti wajuvi ni kweli huyu Mwanasiasa anaweza kurudi kanisani au ndio tunapigwa kamba.
USSR
Na wewe huwa unakua pembeni wanapogeuzana?Si bora yake anayezini na mke kuliko mapadre wanaogeuzana!
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwa roho ya chuki aliyonayo ni bora ajiunge na Mfalme ZumaridiNamuona hapa TBC1 balozi mstaafu Dkt. Slaa anapiga kamba eti kwa kanuni za Kanisa canon law anaweza kurejea madhabahuni akawaongoza kandoo za bwana waende mbinguni.
Eti wajuvi ni kweli huyu Mwanasiasa anaweza kurudi kanisani au ndio tunapigwa kamba.
USSR
Matumizi ya herufi "h" inakuharibia sana point zako. Umeathiriwa na mother tongue au ni nini?Mufa maji huyo ... haendani na sera za mama soon hatarudi kanada kwenye super market...
Huyu mzee alikuwaga na akili nyingi sana ila toka hamekubali kununuliwa na jiwe kakosa mvuto kabisa ...hoja zimeshamuishiya. Mkumbusheni kwamba umri umeyoyoma