LGE2024 Dk. Slaa: CHADEMA haijajiandaa kushindana uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, atabiri kwamba watashindwa vibaya mno

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nguli, na kigogo, Cingwiyemisi wa siasa za upinzani, Dk Slaa, ametabiri kipigo kitakatifu kwa Chadema katika uchaguzi wa serikali za mitaa.

Slaa amesema chama hicho hakina maandalizi, na kimekata tamaa
 
Slaa amesema chama hicho hakina maandalizi, na kimekata tamaaView attachment 3128869
Nashauri viongozi waandamizi wa chadema wapunguze ulevi au waache kujadiliana masuala ya chama chao wakiwa kwenye pombe.

Wanajidanganya sana na kujipa matumaini hewa sana wakiwa nzwiuii 🐒
 
Kama John Mrema alipewa bia ngumu aina ya Safari akaharibu uchaguzi jimbo la nyasa, huyo hawezi kuacha pombe, hata sauti yake inakoroma kama ya mchungaji mashimo. Huwa anapiga safari miksa kvant
 
Slaa ameongea ukweli
wapinzani wapo kama hawapo wanafanya siasa za matukio sio za kimkakati

wanasiasa badala wapinge uchaguzi kwa sababu ya sheria na usimamizi mbovu wao wapo kmya, suala la katiba mpya nalo wapo kmya

hawana msaada wowote, labda wamenunuliwa kama dr. Slaa
 
Nguli, na kigogo, Cingwiyemisi wa siasa za upinzani, Dk Slaa, ametabiri kipigo kitakatifu kwa Chadema katika uchaguzi wa serikali za mitaa.

Slaa amesema chama hicho hakina maandalizi, na kimekata tamaa
Amesema ukweli kabisa
Very poor organization
Chama kinajengwa kutokea chini mitaani
Sio juu kwa kurusha chopa na mkiti

Kama John Mrema alipewa bia ngumu aina ya Safari akaharibu uchaguzi jimbo la nyasa, huyo hawezi kuacha pombe, hata sauti yake inakoroma kama ya mchungaji mashimo. Huwa anapiga safari miksa kvant
kuna huyo anaitwa sijui kijaila aise ananyonya pombe huyo, ni balaa halafu hachagui aina ya pombe, afadhalli hata chairman inajulikana anakunywa nn🐒
 
Back
Top Bottom