Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew jadili hoja yake aliyotoa sio kuleta hadithi za sungura na kenge… Cdm ni mufilisi tu nothing elseDr Slaa uliitweza Chadema kwenye siku zile muhimu mwaka 2015 leo umepata wapi huruma dhidi ya chama hicho?
Hukuinua ulimi wako kwenye fujo za uchaguzi kama huu mwaka 2019 na wala hukusema chochote kwenye maigizo ya uchaguzi mwaka 2020!!
Mzee Unafiki unakutafuna
Kama ni mufilisi sasa kwanini mnahangaika nachoWew jadili hoja yake aliyotoa sio kuleta hadithi za sungura na kenge… Cdm ni mufilisi tu nothing else
Naunga mkono hoja.Nguli, na kigogo, Cingwiyemisi wa siasa za upinzani, Dk Slaa, ametabiri kipigo kitakatifu kwa Chadema katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Slaa amesema chama hicho hakina maandalizi, na kimekata tamaa
Alivyopinga pinga kununuliwa kwa bandari ya dar mbona hukuzungumza haya maneno?Dr Slaa uliitweza Chadema kwenye siku zile muhimu mwaka 2015 leo umepata wapi huruma dhidi ya chama hicho?
Hukuinua ulimi wako kwenye fujo za uchaguzi kama huu mwaka 2019 na wala hukusema chochote kwenye maigizo ya uchaguzi mwaka 2020!!
Mzee Unafiki unakutafuna
Kupinga bandari ulikuwa mradi wake ili ajipatie chochote atulie kama alivyofanya kwenye uchaguzi wa 2015.Alivyopinga pinga kununuliwa kwa bandari ya dar mbona hukuzungumza haya maneno?
Ila kumbuka kwenye hiyo issue Kuanzia mwenyekiti wako Mbowe,Lissu wote kwa pamoja waliungana kupinga bandari isiuzwe so unamaanisha yalikuwa yana maslahi kwa wote haoKupinga bandari ulikuwa mradi wake ili ajipatie chochote atulie kama alivyofanya kwenye uchaguzi wa 2015.
Kwani Slaa alipinga kuuzwa bandari kuwaunga mkono akina Mbowe au alipigania maslahi ya nchi kama walivyofanya watanzania wengine?Ila kumbuka kwenye hiyo issue Kuanzia mwenyekiti wako Mbowe,Lissu wote kwa pamoja waliungana kupinga bandari isiuzwe so unamaanisha yalikuwa yana maslahi kwa wote hao
Ni wapi amesema hayo matamanio yako kwenye hiyo clip? Wananchi wameshaonyesha hakuna uchaguzi bali upuuzi kama upuuzi mwingine. Na sio uchaguzi huu tu wananchi wameupuuza, hata huo mkubwa hakuna atakayekuwa na muda nao kwa mazingira haya. Hivyo chukueni hela za waarabu mje mtengeneze mafuriko fake.Nguli, na kigogo, Cingwiyemisi wa siasa za upinzani, Dk Slaa, ametabiri kipigo kitakatifu kwa Chadema katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Slaa amesema chama hicho hakina maandalizi, na kimekata tamaa
Ni hivi, sisi wananchi tumepuuza huo ushenzi uitwao uchaguzi. Uzuri cdm hawajasusia maana mngesema ni ususiaji uliofanywa na chama cha siasa. Lakini huu ususiaji ni wetu sisi wananchi. Hakuna kelele haijapigwa kuhusu ubovu wa huo uchaguzi, kuna hadi kesi ya kuzuia Tamisema wasisimae uchaguzi, lakini mahakama inajivuta tu. Katiba mpya imeshadaiwa sana, ila mnatumia vyombo vya dola kuteka watu ili waogope. Anzisha chama ufanye siasa za kimkakati boss hakuna anayekuzuia.Slaa ameongea ukweli
wapinzani wapo kama hawapo wanafanya siasa za matukio sio za kimkakati
wanasiasa badala wapinge uchaguzi kwa sababu ya sheria na usimamizi mbovu wao wapo kmya, suala la katiba mpya nalo wapo kmya
hawana msaada wowote, labda wamenunuliwa kama dr. Slaa
Punguza utoto we 🌈kuna huyo anaitwa sijui kijaila aise ananyonya pombe huyo, ni balaa halafu hachagui aina ya pombe, afadhalli hata chairman inajulikana anakunywa nn🐒
Ni hivi, sisi wananchi tumepuuza huo ushenzi uitwao uchaguzi. Uzuri cdm hawajasusia maana mngesema ni ususiaji uliofanywa na chama cha siasa. Lakini huu ususiaji ni wetu sisi wananchi. Hakuna kelele haijapigwa kuhusu ubovu wa huo uchaguzi, kuna hadi kesi ya kuzuia Tamisema wasisimae uchaguzi, lakini mahakama inajivuta tu. Katiba mpya imeshadaiwa sana, ila mnatumia vyombo vya dola kuteka watu ili waogope. Anzisha chama ufanye siasa za kimkakati boss hakuna anayekuzuia.
Hakuna uchaguzi ni maigizo tupuWatashindwa kwa uchaguzi gani unaoenda kufanyika?
Kwani yuko chama gani huyu Yuda?Nguli, na kigogo, Cingwiyemisi wa siasa za upinzani, Dk Slaa, ametabiri kipigo kitakatifu kwa Chadema katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Slaa amesema chama hicho hakina maandalizi, na kimekata tamaa