Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ndio nikasema anzisha chama ili kifanye vile unavyoona boss. Au ww umeridhika kutawaliwa muda mrefu na ccm?wananchi watasusia uchaguzi hadi lini?!
kwahiyo maneno ya dr. Slaa ni ya kweli?!
yapo mambo mengi ambayo vyama vya upinzani wanaweza kufanya ila wapo kmya tu. Sina imani nao hata kidogo
mimi sipo ktk chama chochote, ila siasa ya Tz, ni usanii, kupoteza muda, hamna upinzani wa kweli, na ccm itaendelea kutamba na kutawala wasiojielewa kwa kipindi kirefu