Ndio nikasema anzisha chama ili kifanye vile unavyoona boss. Au ww umeridhika kutawaliwa muda mrefu na ccm?wananchi watasusia uchaguzi hadi lini?!
kwahiyo maneno ya dr. Slaa ni ya kweli?!
yapo mambo mengi ambayo vyama vya upinzani wanaweza kufanya ila wapo kmya tu. Sina imani nao hata kidogo
mimi sipo ktk chama chochote, ila siasa ya Tz, ni usanii, kupoteza muda, hamna upinzani wa kweli, na ccm itaendelea kutamba na kutawala wasiojielewa kwa kipindi kirefu
Ndio nikasema anzisha chama ili kifanye vile unavyoona boss. Au ww umeridhika kutawaliwa muda mrefu na ccm?
Wewe si umesema alikuwa anapigania maslahi yake ndio maana nikakuuliza mbona hakua pekee yake aliyepigania kulikuwa na kina Mbowe na Lissu Je na wao pia walikuwa na maslahi nayo kulingana na hoja yako ulioijengaKwani Slaa alipinga kuuzwa bandari kuwaunga mkono akina Mbowe au alipigania maslahi ya nchi kama walivyofanya watanzania wengine?
Chadema ni mali ya ummaβ¦si kila sku mnasema mnataka wanachama wapya?! Kama hamtaki iambiwe ukweli muifute kwenye siasa za Tanganyika.Kama ni mufilisi sasa kwanini mnahangaika nacho
Huwezi hangaika na kitu ambacho ni mufilisi utakua na matatizo ya akili
Chadema waangaike na msaliti slaa watakua na matatizo ndo maana wamempuuzia
Mbowe aliyemteua Lowassa kuwa mgombea wa Uraisi aliyewahi kusema ni miongoni wa mafisadi papa wa nchi hii so yeye sio yuda?Kwani yuko chama gani huyu Yuda?
Kwamba lile kapi lenu msigwa tulilolishtukia tukalipiga chin ndio limewaingia Kwa gia hio na nyie Kwa kuwa ni wajinga limewaingiza mkenge kama hujui nakupa taarifa ccm hakuna mtaa mtashinda labda Kanda za wajinga wajinga.Kama John Mrema alipewa bia ngumu aina ya Safari akaharibu uchaguzi jimbo la nyasa, huyo hawezi kuacha pombe, hata sauti yake inakoroma kama ya mchungaji mashimo. Huwa anapiga safari miksa kvant
Mbowe atawapa sonona sana mazwazwa ya lumumba.Mbowe aliyemteua Lowassa kuwa mgombea wa Uraisi aliyewahi kusema ni miongoni wa mafisadi papa wa nchi hii so yeye sio yuda?
Lissu alisema kwamba aliyemfuata kumpa hela, alimwambia wenzake wengi wameshapokeaSlaa ameongea ukweli
wapinzani wapo kama hawapo wanafanya siasa za matukio sio za kimkakati
wanasiasa badala wapinge uchaguzi kwa sababu ya sheria na usimamizi mbovu wao wapo kmya, suala la katiba mpya nalo wapo kmya
hawana msaada wowote, labda wamenunuliwa kama dr. Slaa
Kila ikitoka hela ya ruzuku, mwenyekiti anakodi chopa kwenye kampuni yake ya Kenya, hela zote zinaishia huko.Amesema ukweli kabisa
Very poor organization
Chama kinajengwa kutokea chini mitaani
Sio juu kwa kurusha chopa na mkiti
Pre GE2025 - Nasikitika kusema mfumo wa CHADEMA bado hauna uwezo wa kupewa uongozi wa nchi, labda waufanyie marekebisho au tuwape muda zaidi miaka 10 au 15 ijayo
Habari wakuu Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa na vyama vya siasa imara vinavyoweza kubadilishana madaraka Kila wakati pale kilichopo...www.jamiiforums.com
Madaraka matamu. Hata wakiingia wengine kama mshindani hajajipanga kulinda chake atainiwa tu. Kipindi cha Bush marekani kama sikosei ilibidi warudie kuhesanu kura kwa mkono πππ. Binadamu wote wezi tu tusidanganyane.some time bora kukaa pemben kuacha wajichague wenyewe wajae weng huko kweny kamat zao mtu unaona mwiz kila ukilinda mali anatumia mbinu anaiba kinachofuata nikumpelekea hukohuko akaibe vzr ccm hata ufanyaje ni wez balaa
CHADEMA ni kama wana resources za kuchezea. Kati ya uchaguzi ambao walipaswa wajitoe mapema sana ni huu wa serikali za mitaa 2024!Nguli, na kigogo, Cingwiyemisi wa siasa za upinzani, Dk Slaa, ametabiri kipigo kitakatifu kwa Chadema katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Slaa amesema chama hicho hakina maandalizi, na kimekata tamaa
Narudia tena, anzisha chama kifanye utakavyo.Ujue we jamaa ni m'bishi sana
iwe hivi, katiba mpya ya warioba, tume huru ya uchaguzi sio hii ya sasa, haki ya kuwepo mgombea binafsi, hapo hata mimi nitagombea ubunge au urais kwa tiketi ya mgombea binafsi
hakuna chama cha upinzani hapa nchi, wote ni matapeli, walaghai, wasanii wanaolipwa na CCM hawana jipya na tumeshawajua ndio maana hata wakiitisha maandamano raia hatushirikiani nao