LGE2024 Dk. Slaa: CHADEMA haijajiandaa kushindana uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, atabiri kwamba watashindwa vibaya mno

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Nguli, na kigogo, Cingwiyemisi wa siasa za upinzani, Dk Slaa, ametabiri kipigo kitakatifu kwa Chadema katika uchaguzi wa serikali za mitaa.

Slaa amesema chama hicho hakina maandalizi, na kimekata tamaa
Dr Slaa amezunvumza ukweli kama anavyouona yeye. Nami kwa kikubwa nakubaliana na hoja zake. Ila wewe mtoa mada umeongeza humvi sana.
 
Nguli, na kigogo, Cingwiyemisi wa siasa za upinzani, Dk Slaa, ametabiri kipigo kitakatifu kwa Chadema katika uchaguzi wa serikali za mitaa.

Slaa amesema chama hicho hakina maandalizi, na kimekata tamaa
Huyu mzee siyo role-model wala si standard unit ya chochote hivyo kauli zake tata zinadhihirisha alivyo na psychological down syndrome, kama familia tu inamshinda kuiendesha kama mwanaume kamili anatoa wapi guts za kujifanya anatoa ushauri wa kuendesha organisation kubwa na yenye watu wengi.
 
Suala la kushindwa kuendesha familia ni la ki historia, lilianza na Adam pale Eden, akaja samson, hata Lissu kaachwa na mkewe, zingatia hoja zake
 
Nguli, na kigogo, Cingwiyemisi wa siasa za upinzani, Dk Slaa, ametabiri kipigo kitakatifu kwa Chadema katika uchaguzi wa serikali za mitaa.

Slaa amesema chama hicho hakina maandalizi, na kimekata tamaa
Waajiri wake wao walijiiandaa kukwiba au kwa namna gani?
 
Suala la kushindwa kuendesha familia ni la ki historia, lilianza na Adam pale Eden, akaja samson, hata Lissu kaachwa na mkewe, zingatia hoja zake
Imani na sii hasaa havichangamani.
 
Mbowe aliyemteua Lowassa kuwa mgombea wa Uraisi aliyewahi kusema ni miongoni wa mafisadi papa wa nchi hii so yeye sio yuda?
Wote hao ni ma-Yuda

ILA mbowe zaidi aisee…. Aliuza chama kızıma kwa vipande vya pesa
 
CHADEMA IKO VILE KWA UMAARUFU SBB NI DR SLAA.
 
..Ccm wanapokea 3.2 BILLION ya ruzuku kila mwezi.

..Vyama vya upinzani vina hali mbaya kifedha ndio maana vinashindwa kufanya siasa.

..wananchi tunatakiwa kuhamasika wenyewe kupenda mabadiliko na sio kusubiri kusukumwa au kushtuliwa na vyama vya siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…