GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
🔨🔨🔨🔨🤣🤣🤣🤣Jidanganyeni tu na endelea Kudanganywa kuwa things are okay on the ground wakati akina GENTAMYCINE ambao Kutwa tupo na tunajichanganya na Wananchi tunaona hali ni tofauti na kama mwaka 2025 PT, TISS, JWTZ na NEC wakisema wakae Kando na waachie Haki itendeke nina uhakika kuna Mtu mapema sana ataenda Paje Kizimkazi kuyaanza Maisha yake mapya akiwa na Wajukuu zake.
Usipoteze muda na 2025 bali jipange na 2030. Mama Samia ni Rais bora kabisa kuliko mtangulizi wake japo ana madhaifu yake machache.Jidanganyeni tu na endelea Kudanganywa kuwa things are okay on the ground wakati akina GENTAMYCINE ambao Kutwa tupo na tunajichanganya na Wananchi tunaona hali ni tofauti na kama mwaka 2025 PT, TISS, JWTZ na NEC wakisema wakae Kando na waachie Haki itendeke nina uhakika kuna Mtu mapema sana ataenda Paje Kizimkazi kuyaanza Maisha yake mapya akiwa na Wajukuu zake.
Ndoto za mchana.Jidanganyeni tu na endelea Kudanganywa kuwa things are okay on the ground wakati akina GENTAMYCINE ambao Kutwa tupo na tunajichanganya na Wananchi tunaona hali ni tofauti na kama mwaka 2025 PT, TISS, JWTZ na NEC wakisema wakae Kando na waachie Haki itendeke nina uhakika kuna Mtu mapema sana ataenda Paje Kizimkazi kuyaanza Maisha yake mapya akiwa na Wajukuu zake.
Dini zinafanya watu kuwa wajinga , kataa dini dini ni utapeli.Usipoteze muda na 2025 bali jipange na 2030. Mama Samia ni Rais bora kabisa kuliko mtangulizi wake japo ana madhaifu yake machache.
Performance yake kwenye uhuru wa mawazo, demokrasia ya vyama vingi na kufungua uchumi ni kubwa kuliko ya mtangulizi wake.
Aidha amejenga utulivu kwenye nchi, amani na kuondoa dhuluma ambazo Magufuli ndiyo alikuwa anatimia kama strategy ya uongozi. Magufuli alikuwa hafuati rule of law, alikuwa anaua wakosoaji na alikuwa anapora fedha za wafanyabiashara na matajiri benki.
Mnyonge mnyingeni lakini haki yake mpeni. Mumchukie tu kwa vile ni mwanamke, mwislamu halafu Mzanzibari lakini siyo kiutendaji.
Kwanini unapima ubora wa Samia kwa kumlinganisha na mtangulizi wake?Usipoteze muda na 2025 bali jipange na 2030. Mama Samia ni Rais bora kabisa kuliko mtangulizi wake japo ana madhaifu yake machache.
Performance yake kwenye uhuru wa mawazo, demokrasia ya vyama vingi na kufungua uchumi ni kubwa kuliko ya mtangulizi wake.
Aidha amejenga utulivu kwenye nchi, amani na kuondoa dhuluma ambazo Magufuli ndiyo alikuwa anatimia kama strategy ya uongozi. Magufuli alikuwa hafuati rule of law, alikuwa anaua wakosoaji na alikuwa anapora fedha za wafanyabiashara na matajiri benki.
Mnyonge mnyingeni lakini haki yake mpeni. Mumchukie tu kwa vile ni mwanamke, mwislamu halafu Mzanzibari lakini siyo kiutendaji.
Wewe umekataa dini umeishia kuvuta bangi.Dini zinafanya watu kuwa wajinga , kataa dini dini ni utapeli.
Unataka nimpime na nani?Kwanini unapima ubora wa Samia kwa kumlinganisha na mtangulizi wake?
Je, huyo mtangulizi wake alikuwa Bora, na ndio kielelezo Cha uongozi Bora?
Na Kama mtangulizi hakuwa Bora, iweje uone Samia ni bora kwa kumlinganisha na asie Bora?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sema home boy tafuta akili siku nyingine pesa piga chini usitafute.Usipoteze muda na 2025 bali jipange na 2030. Mama Samia ni Rais bora kabisa kuliko mtangulizi wake japo ana madhaifu yake machache.
Performance yake kwenye uhuru wa mawazo, demokrasia ya vyama vingi na kufungua uchumi ni kubwa kuliko ya mtangulizi wake.
Aidha amejenga utulivu kwenye nchi, amani na kuondoa dhuluma ambazo Magufuli ndiyo alikuwa anatumia kama strategy ya uongozi. Magufuli alikuwa hafuati rule of law, alikuwa anaua wakosoaji na alikuwa anapora fedha za wafanyabiashara na matajiri benki.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Mumchukie tu kwa vile ni mwanamke, mwislamu halafu Mzanzibari lakini siyo kiutendaji.
🤣🤣🤣 unahis tu kma unavyohisi peponi sio !!Wewe umekataa dini umeishia kuvuta bangi.
Mtaji wa ccm ni watu kama wewe ambao hata kuandika ni shida.Binafsi ndamchagua samia 2025 kwakutujalisisiwakulima
Mimi pia ni mkulima. Niambie, samia amewajali wakulima kwa mambo gani?. Ninachojua wakati wa Magufuli mbolea ilikuwa rahisi kupata. S.A Kg 50 iliuzwa Tsh 40,000 - 50elfu. CAN na UREA 60,000. Baada ya magu kufa mambo yalibadilika maana ruzuku iliondolewa na tukauziwa UREA na CAN Tsh 140,000. Aliporudisha ruzuku leo mbolea hizo ni Tsh 75,000 hadi 80elfu kwa kg 50.Binafsi ndamchagua samia 2025 kwakutujalisisiwakulima