Dk. Slaa kavuliwa Ubalozi wake mwaka 2023 na Watanzania tutamvua Mtu Heshima yake Oktoba 2025

Unajidanganya kabisa ,nchi ishikwe na CHADEMA acha utani wako wewe [emoji23][emoji23]watu weny akili mil 60 tuongozwe na walevi ambao ni jamii ya matapeli na wezi.
Unakosea bro Kwa hiyo wachagga (Freeman) ni walevi na matapele kweli?
 
Kula kwasamia 2025 good presedenty east end century Africa country
 
Kwanza Nani aende paje sijui kizimkazi? Watu tumeishapewa mibangaluu yetu kule al jumeira yenye kila kitu ndani, helikopta ya kwenda shopping abhu dhabi na ma vx v8 LC 200 manne manne, tuende paje kufanya nini? Unaota kweli wewe.
 
Na akishavuliwa hadhi yake, tunamfutia na cheo chake hakuna mstaafu bali......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…