Dk. Slaa: Mkataba wa DP World kama Taifa - Tumeuzwa!

Dk. Slaa: Mkataba wa DP World kama Taifa - Tumeuzwa!

Ni kweli tumeuzwa.
Na waliotuuza ni CCM na viongozi wake ambao ndio hao hao waliwahi kumnunua Dr.Slaa 2015 ili aisaliti CHADEMA na kisha kumhonga ubalozi Sweden.
Kwahiyo? Muwe mnaacha uzwazwa wakati mwingine.
 
Lazima ujue unapigania Nini, Ila Kama Ni shabiki wa siasa na vyama vyake, wewe Ni tahira tu.
 
Lazima ujue unapigania Nini, Ila Kama Ni shabiki wa siasa na vyama vyake, wewe Ni tahira tu.

Mbona hata kwenye clip hii tu Dk. Slaa yupo wazi mno ya nini kinachogomba?

Tuseme wenzetu nyie mmeamua kuacha kusikia kwa makusudi tu?

Hoja si hupingwa kwa hoja ndugu? Za Slaa hizo hapo. Zenu ziko wapi tuzione, tusikie au tuzisome?
 
Kiongozi wa nchi aliyetuingiza kwenye hili janga anajitokeza hadharani kwa kusema ameziba masikio, hatusikii, yeye anaendelea kuchapa kazi, mtu mwenye akili timamu lazima ujiulize ni kazi gani hizo anazotuchapa nazo huyu mtu? ndipo unapata jibu, anatuchapa kwa kutupeleka utumwani arabuni.

Hizi kelele hazitakiwi kukoma, ni kupiga tu mpaka masikio yake aliyoyaziba azidi kuyajaza pamba yaharibike, au aamue kutusikiliza watanganyika tunachotaka na atupe, huo ndio wajibu wake. Hakuapa kuilinda katiba ya yetu ili aje kuwa bosi wetu, aliapa aje kuwa mtumishi wetu.
 
Mbona hata kwenye clip hii tu Dk. Slaa yupo wazi mno ya nini kinachogomba?

Tuseme wenzetu nyie mmeamua kuacha kusikia kwa makusudi tu?

Hoja si hupingwa kwa hoja ndugu? Za Slaa hizo hapo. Zenu ziko wapi tuzione, tusikie au tuzisome?
Hichi kizee kiliasi kanisa kinatupotezea watu wakati kumbuka hichi kizee wakati wa magu kilisema Tundu lisu alipigwa risasi na Chadema
 
Back
Top Bottom