Hamza swakala
JF-Expert Member
- Feb 14, 2022
- 479
- 619
kwanini balaa mkuu King Kong III ?Kama ni mke wa Pili+ sawa ila kama ndio wa kwanza basi balaa.
alioa mdada mmoja mwandishi mwenzie aliyetoka nae majiraKatibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dr. Abbasi amefunga ndoa na Mtangazaji wa Clouds FM Mamy Baby.
View attachment 2463467
kwanini balaa mkuu King Kong III ?
Usikute wala hajatumia nguvu sana kukapataYaani mimi nawaza nani alianza kumtongoza mwenzake...Jamani wanaume tutafika mbinguni tumechoka sana...Sijui Dr alianzaje kukatongoza kale kabintiπ€π€
Wanawake wengi gia ya kuolewa inaingia kiurahisi mno kuliko gia zote na pia inaangaliwa tabia ya mfuko ipoje ni wa kulia lia au mtekelezaji...Usikute wala hajatumia nguvu sana kukapata
[emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]weee wanakuambia mapenzi akili moyo baadaeUzi usindikizwe na ngoma ya Bado niponipo ya MwanaFa "ukiambiwa ni boyfriend haimanishi uko peke yako wadogo usoni wanahifadhi wazee wako sijui ni dhiki au nitamaa tu watoto wanaendekeza njaa tu hawangalii mapenzi wanachoona ni mkwanja"
Woiooii[emoji3]Mamy baby kaamua kuacha mkuyengee kafuata mahela .....
Pesa ndio kila kitu mazee ...
Hata kama unampelekea moto mwanamke Kwa bed Kama huna pesa wewe ni mbwa tu [emoji3][emoji3][emoji3]
Wasingeweza kuoana mmoja Muslim mwingine christianKumbe huyu dada alizaa na Sam misago
Ngapi Huko, Engineer Soma WeweKatibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dr. Abbasi amefunga ndoa na Mtangazaji wa Clouds FM Mamy Baby.
View attachment 2463467