Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Halafu unakutana nako kanazungusha vanguard unaanza kuumiza kichwa.Duh kumbee ndio maana Hawa mabint wanatusumbua Sana kumbee vigogo wa serekalin ndio wanawapasua sasa hako kabinti Kweli ndio alikuwaa anapasuliwa na Dr abbas
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Asante kwa taarifa , vipi kuhusu ukumbi kitakapoliwa kipunga , biriani au pilau ?Ndoa imefanyikia tabora
"Baby mama" βKatibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dr. Abbasi amefunga ndoa na Mtangazaji wa Clouds FM Mamy Baby.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we acha tuNdoa ya tatu,
Kwa Wakristo, kwenye ibada ya ndoa, kuna kipengele cha kuvikana pete ,na ni baada ya hizo pete kubarikiwa. Kwa wenzetu, kuna utaratibu gani kwenye kuvikana pete?Ndoa imefanyikia taboraView attachment 2463473
Sema hujapewa kadiπMbona ghafla sana
πZero grazing
Mwisho wa mwaka huuPicha
Nataka leoMwisho wa mwaka huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kvipi tenaaa???cocastic umefeli kweli
Hahahahah ata kesho ni siku lakiniNataka leo
ππππππππππ€£π€£π€£π€£π€£ππππππDuh kumbee ndio maana Hawa mabint wanatusumbua Sana kumbee vigogo wa serekalin ndio wanawapasua sasa hako kabinti Kweli ndio alikuwaa anapasuliwa na Dr abbas
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app