Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

Wenzetu Hawa hata thelatha au arba ruksa.
Sasa sisi mwanamke akihisi tu una nyumba ndogo au umechepuka kidogo tu Tena mara moja ,ndani ya wiki mbili usitegemee uroda. Ni kununiwa tu na majibu ya mkato.
Dah! Wakristo tunapitia kipindi kigumu sana kwenye huu upande. Maana wanawake waelewa ni wachache sana. 😩
 
Wasabato hawavalishani pete
Kwa Wakristo, kwenye ibada ya ndoa, kuna kipengele cha kuvikana pete ,na ni baada ya hizo pete kubarikiwa. Kwa wenzetu, kuna utaratibu gani kwenye kuvikana pete?
 
Back
Top Bottom