Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

Katibu Mkuu huyo wa Wizara ya Utamaduni na michezo leo ameonekana hadharani akifunga ndoa na Mwanamke anayejulika kwa jina la Mammy baby , ambaye inasemekana ni Mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha XXL

Haijulikani mahali ilikofungwa ndoa hiyo wala ukumbi kutakakokuwa na Sherehe za Harusi hiyo .

Pia haijajulikana kama ni ndoa ya kwanza , ya pili au ya tatu .

Tunawatakia kila la heri
Ndoa imefungiwa Tabora huko
 
Katibu mkuu wa wizara ya sanaa na michezo amefunga ndoa na mtangazaji wa clouds media group mkue isale maarufu kama mamy baby......
 
Back
Top Bottom